Mghothi wadala
Member
- Jul 21, 2018
- 90
- 65
Si vibaya ukajielemisha utofauti wa sheria na hisia au mihemko. sijui kama unaelewa maana ya kuheshim sheria au utawala wa sheria. usione kwa mkosaji yule kwa jambo lile fikiria wewe umeoverspeed ukavuliwa nguo uchi badala ya fine. fikiri kidogo.Huyu kaonewa huruma sana.
Kweli unaenda Uhamiaji unadanganya kuwa wewe ni PCCB?
Ametapeli Wangapi kwenye taasisi za kiraia?
Piga Mbwa huyo
Hahaha jewii ndy zao hizoKumekucha Sasa Hivi
Mahakama ina kazi za msingi zaidi kuliko huu upuuzi.Hata kama ni mkosaji, kazi ya mahaka ni ipi, na je sheria zinasemaj
SawaMahakama ibaki ma
Mahakama ina kazi za msingi zaidi kuliko huu upuuzi.