Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

HATA JAMAA MWENYEWE MPUMBAVU. NINGEKUA MIMI NISINGETII HATA MOJA YA AMRI WALIZOKUA WANAMPA. INGEBIDI WATUMIE NGUVU NA INGESAIDIA KUWAUMBUA ZAIDI JAMAA HAWA WALIOHARIBIWA NA AWAMU YA TANO.
Hawa inatakiwa wachukuliwe hatua kali sn washenzi wakubwa
 
Kuadhibu mtuhumiwa bila kumfikisha kwenye vyombo husika kunatoa loophole kwa watu wasiyo na nia njema kutenda unyama. Hii siyo kanuni yangu bali ni kanuni ya maisha yenye ukweli. Kuna raia wengi wasio na hatia wameathirika na wengine kuua kwa sababu ya hili jambo. Nchi ina sheria na taratibu. Ni lazima zifutwe.
Haki za binadamu wako wapi? yaani watu wanatesa sn na hivi vyombo vya CCM
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.

Hii ni mbaya kabisa,mfano huyo jamaa angegoma Ndio ile inatokea wanampiga anakufa alafu wanasingizia alitaka kuwa nyanganya silaha ,tabia mbaya sana ,alafu walivyo washenzi wanarekodi kuonyesha watu ,
 
Huyu kijana namjua ni ndugu zake nadhani wanatoka Bukoba, Kuna kipindi alikuwa anaendesha gari ya mkubwa mmoja hapo jijini Dar es salaam. Huyu nadhani ameajiriwa serikalini na hapo kakamatwa may be akiwa anajifanya TAKUKURU.

Na hawa ndio watu waliokuwa wanatutisha kama watu wasiojulikana kujipatia fedha. Kama mzazi lazima uuzunike kuona namna watoto walivyokuwa na ujasiri kujitambulisha kama watendaji wa Umma.

Nadhani pia suala lakutisha watu Mimi Ni Nani liishe. Hivi vyuma vimeumana, hao ni wao kwaoooooo huyu kijana ni wa system au walimlea huko amezoeaaa?
Kazi ya Mahakama ni nini? Iko wapi Rule of law?
 
Ukifanya kosa kama hilo ukapewa choice ya mahakamani au adhabu kama hiyo kwa kosa hilo la kujidai takukuru wewe mleta uzi utachagua nini?Tuanzie hapo!
 
Sitetei kosa la mtuhumiwa, lakini hii siyo njia sahihi za kushughulikia mtuhumiwa ambaye hajatumia nguvu. Huu ni ushenzi wa hali ya juu!!
Yawezekana huyu ana kosa la dhati lakini kesho na keshokutwa anaweza mtu kubambikiziwa tu kosa na kudhalilishwa namna hiyo.
Ninaamini wahusika kama wakitaka wataweza kuwawajibisha watumishi hawa!! Wasipotaka Mungu anawaona! Wasipotaka Mungu ana mkono mrefu!
 
Sasa rais aliteuwa majaji na mahakimu wanini na mahakama Kazi yake nini basi mjini ingejaa mizoga ya wahalifu kama kweli hii ndio funzo
 
Vipi na wewe unafanyakazi ya utapeli mkuu?
Hapana Huyu jamaa nimesoma naye na ni afisa serikalini kuna kitu kinaitwa rights of the accused, rights to be heard...ndiyo mana kuna mahakama...tusiingiliane kimajukumu
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria
"Huu ni uhaini" walioiba 1.6 billion hazina mbona hawajakamatwa na kufanyika huu unyama? Kamishna general wa uhamiaji kwa hili jiuzulu tu.
zikafuate mkondo wake.
 
Ukifanya kosa kama hilo ukapewa choice ya mahakamani au adhabu kama hiyo kwa kosa hilo la kujidai takukuru wewe mleta uzi utachagua nini?Tuanzie hapo!
Mahakama ndio yenye Mamlaka ya kuamua kama kuna kosa limetendeka na kutoa adhabu.

Kwenye hili pia mtuhumiwa anatakiwa apelekwe mahakamani na ndio maana mwishoni amefungwa pingu na kuamuliwa akae asubiri.

Vinginevyo angeambiwa umeishaadhibiwa ondoka usirudie tena....

Hao maafisa uhamiaji wametenda kosa hapa na labda wamethibitisha jinsi wanavyokiuka sheria. Huyo kijana afungue kesi ya kudhalilishwa.
 
Binafsi hili mm napongeza kuliko kujeruhi. Hii adhabu tena alitakiwa kuongezwa na mikanda michache ili wapungue
 
Huyu kaonewa huruma sana.

Kweli unaenda Uhamiaji unadanganya kuwa wewe ni PCCB?

Ametapeli Wangapi kwenye taasisi za kiraia?

Piga Mbwa huyo
Kama ni hivyo adhabu haijatosha ,alitakiwa aingiziwe gogo nyuma kenge huyo
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.

Safi Sana aisee

Hao matapeli wanaojifanya watumishi wa umma wanastahili adhabu zaidi ya hiyo
 
Mahakama ndio yenye Mamlaka ya kuamua kama kuna kosa limetendeka na kutoa adhabu.

Kwenye hili pia mtuhumiwa anatakiwa apelekwe mahakamani na ndio maana mwishoni amefungwa pingu na kuamuliwa akae asubiri.

Vinginevyo angeambiwa umeishaadhibiwa ondoka usirudie tena....

Hao maafisa uhamiaji wametenda kosa hapa na labda wamethibitisha jinsi wanavyokiuka sheria. Huyo kijana afungue kesi ya kudhalilishwa.
Unadanganya hadharani?takukuru bandia unajua ni kosa la jinai?Tena uhamiaji?huyu angepewa choice angesema arushwe kichura aende kwake!Baada ya yale walitakiwa wamsamehe ingestahili.
 
Back
Top Bottom