Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza upumbavu wa kujifanya una huruma,Huwezi kuidharau mamlaka zetu kwa upuuzi kama huu.Mijitu kama wewe mnatakiwa kupata elimu kwa zawadi hiyo hiyo unayoikosoa,IdiotHawa wanaofanya haya ni miongoni mwa 'law enforcers' (kama ndio hao wanaoamrisha huyo mtu afanyiwe hivyo) wanaoishushia nchi yetu heshima kimataifa kwa kujichukulia sheria mkononi maana utaratibu wa kisheria upo kama mtu anatuhumiwa kwa kosa lolote.
Hii imekaa vizuri sana, wapo watu wameanza kudharau mamlaka za serikali kisa tu JPM hayupo. Huyu Kama ameweza kuingia ofisi nyeti hivyo nakudanganya eti anatoka TAKUKURU ameshadhulumu watu wangapi? Yawezekana huyu mtu ni jambaza au muhalifu ni vyema tukapata taarifa rasmi.
Kuingia kwenye vyombo Kama TAKUKURU ukijua siyo mtumishi wa chombo hicho then utegemee kutoka salama hicho chombo kitakuwa kimekufa.
Hawa watu ndiyo wanaotuibia kwa sms za namba zisizofahamika. Na wakikukamata usiku ndo utajua haki za binadamu au la.
Vibaka wamezagaa kila kona imefika wakati Sasa wanajitutumia Hadi kwenye vyombo vya dola, no. Vyombo vyetu vijiimarishe kuwashughulikia Hawa watu la sivyo wakiruhusiwa kutetewa tutawapa kiburi.
Mtu hata bia haishuki kisa vibaka Kama Hawa, juzi wamepiga mtu mbezi mara kituo Cha mafuta wamenyang'anya silaha......kwanini haya yatokee Kama siyo kujaribu nguvu ya utawala mpya
Ni suala la mida tu,anapewa Mkuu wa Uhamiaji na Waziri wake pengine isizidi wiki kama hawakuchukua hatua kali basi wajue wanakwenda na maji. Sina zaidi.
Kadhia iliyotokea haina nafasi kwa Raisi aliepo,pale anahisi ni kama mwanawe na anakaa akijiuliza kwanini wasimkamate ? Mateso kama hayo yametokea Zanzibar miezi michache iliyopita,polisi wote waliohusika katika aina hio ya mateso katika nchi ya walio huru,wote wapo ndani na kesi inaendelea,kwa ufupi hawatopi. Na Hawa maofisa wa uhamiaji ni aibu na wanamuhatarishia Raisi juu ya usimamizi wa madaraka yake na kuona haki inatendeka, Kuchukua kideo na kuirusha ni kumpima ? Ni Kumharibia ? Ni kumsaboteji ?
unaenda kufanya uhalifu eneo la jeshi halaf unaota pembe? kajarib ww tukuoneHATA JAMAA MWENYEWE MPUMBAVU. NINGEKUA MIMI NISINGETII HATA MOJA YA AMRI WALIZOKUA WANAMPA. INGEBIDI WATUMIE NGUVU NA INGESAIDIA KUWAUMBUA ZAIDI JAMAA HAWA WALIOHARIBIWA NA AWAMU YA TANO.
Ukonga kumeanza kukaliwa lini na wahuni?Kama ni mwendo wa kujichukulia sheria naomba na sisi raia tujilinde hapo namuona huyo sgnt bonge aliyemkanyaga Teke anaishi ukonga, huyo jamaa anayemuuliza nikuonyeshe demo anaitwa alix..
Elumu za kukariri na lack of exposure ndiyo zinakufanya uwe na mawazo fyongo namna hii. Ndiyo maana waarabu walishindwa kuchukuwa watumwa sehemu nyingine kote lakini Afrika ikawa rahisi kwa sababu ya watu kama. Wewe hata ukilawitiwa na mwanajeshi utashukuru na kusema unastahili kwa sababu wanajeshi wana haki ya kukufanya hivyo.Mpaka sasa sielewi watu wanatetea nini humu, yaani mtu uingie sehemu jeshini kwa kusudi la kuwatapeli wakuumbue halafu utegemee uletewe chai kwa birika....kuna nadharia za sheria na uhalsia wa mambo, hapo unapaswa usalimu amri na kushukuru ukitoka mzima. Hao wote huwa wamepitia mafunzo ya uwenda wazimu ambayo huwafanya wawe kama machizi.
Tena hawa wanaonekana wastaarab maana wanarekodi wenyewe, maana kwamba jamaa yuko sehemu ndani ya majengo yao sio nje kwenye kandamnasi, hapo ukijifanya komando na kuwakaidi wanaweza wakakufanya chochote na kufuta video ujifie mbele....
kuna watu wajasiri sana, unatoka zako kitaani na kwenda kutapeli jeshini....hehehehe!!! Bangi haijawahi kumuacha mtu salama.
Mkuu watanzania wengi bado ni wajinga na wapuuzi.Elumu za kukariri na lack of exposure ndiyo zinakufanya uwe na mawazo fyongo namna hii. Ndiyo maana waarabu walishindwa kuchukuwa watumwa sehemu nyingine kote lakini Afrika ikawa rahisi kwa sababu ya watu kama. Wewe hata ukilawitiwa na mwanajeshi utashukuru na kusema unastahili kwa sababu wanajeshi wana haki ya kukufanya hivyo.