Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

Mbona vibaka wezi wanauliwa
Na watu huwa wanaunga mkono
Sasa huyo jamaa aliyevamia uhamiaji
Si kishoka tu

Ova
Vibaka kuuliwa na watu kusapoti siyo utetezi.Kosa moja halihalalishi kosa lingine.Utawala wa sheria ndo unatakiwa.
 
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
Ni kweli.

Lakini kuna vikosa kama hivi ni kuiongezea mahakama mzigo.

Vihiyo, kama hawa wanaojulikana adhabu kama hiyo, isiyoumiza inawafaa.

Askari hao bado naona ubinaadam wao bado upo palepale.
 
kuna haja elimu ya sheria na utawala bora, kuna fundamentals iwe kama kumfundisha mtoto kujifulia uniform. kila raia ajue tafsiri za msingi. ukisoma nyuzi humu hadi inaskitisha. kanuni ya kuish kistaarab iko wazi ni kosa flan na adhab flan. tatzo ni hili la mtu kusoma lakin ushenz wa asili haumtoki!
 
Hili jambo lingefanywa na Mzungu dunia nzima ingepiga kelele
 
Uhamiaji kitengo cha uraia kihamishiwe Tamisemi ili masuala ya raia ikiwemo makazi vishughulikiwe na watendaji katani.

Hawa maafisa uhamiaji baadhi waondolewe maofisini wapelekwe mipakani wakafanye patrol huko na kudhibiti wahamiaji haramu.

Mambo yanayowahusu raia ikiwemo utambulisho, makazi, umiliki wa ardhi, upigaji kura na kusafiri viratibiwe na Tamisemi, NIDA NEC na RITA.
 

Attachments

  • VID-20210709-WA0007.mp4
    32 MB
Back
Top Bottom