Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

Usenge na nchi kukosa miongozo thabiti extra drill sie wenyewe mpka upimwe ndio upigwe doso na si kila mtu ni mjuzi wa kutoa doso akikata moto apo ndio kimbembe kinaanza ,sijawahi na sitawahi mpiga mtu doso kisenge namna hio hata itokee nini , sipendi na usipende fanya kwa mwenzio kile ambacho wewe hupend fanyiwa
 
Hapa ndipo utaujua Unafiki wa Watanzania. Mpuuzi aliyedanganya na kutaka Kutapeli anaonewa Huruma na Kutetewa ila wanaomfundisha Adabu kwa Kumpa Adhabu wanaonekana ni Maadui na Makatili.

Tena hizo Adhabu ni kama vile naona Wamemdekeza na Kumuonea tu Huruma ila huyo alitakiwa apewe Adhabu Kali hata inayokaribia Kuichungulia Kaburi ili akome na iwe Fundisho kwa Wapuuzi wengine wa Mfano wake.

Ninawapongeza waliompa Drill hiyo.
 
Nimeona kuna video clip inazunguka ambayo inaonyesha maafisa uhamiaji wakimsulubu jamaa bila kujali ni kosa gani ametenda ni aibu kwa idara hii ambayo inatakiwa ku-enforce law badala yake amefanya kitendo ambacho kisheria hatujui tunakiitaje.

Mfumo wa haki jinai na makosa yake unaelekeza vyema kamata mtu peleka mahakamani na siyo kama inavyoonekana pichani.. kama umebainika kuingalia video hiyo kuna sehemu wana sema wamepata maelekezo kutoka kwa PCO (sijui ndio Nani)

Haya yote ni Madhara ya matumizi mabaya ya neno “jeshi” siku za hivi karibuni maafisa hawa wanajiita jeshi la uhamiaji nachojua uhamiaji inafanya kazi kimuundo kama inavyoelekezwa kwenye immigration act ya mwaka 1995 aliyesema uhamiaji ni jeshi ndio ametuletea Haya mods usifute huu uzi tafadhali uhuru wa kuongea uhuru maoni

View attachment 1800944

View attachment 1800945

View attachment 1800946

View attachment 1800947

View attachment 1800948
.
bonge kadhalilishwa sana. kama ni mimi ,baada ya hii adhabu ambayo haipo kisheria, ninaanza kutafuta mtu mmojammoja kwenye makazi yake na kumfanyia hivivi
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.

This is barbaric, Waxiri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu, hatuko a Police State.
 
Hawa sio wale wa tuma kwenye number hii me tapeli siwezi muonea huruma ya asha liza wengi
kuna kitu hujakielewa kuhusu kuishi kwa sheria. unaendeshwa na hasra na mhemko wa kutendewa baya. ni bora wewe raia umuue mwizi wako kimya kimya kuliko chombo kinachofanya kazi kisheria kutumia njia hiyo hiyo. kuna madhara na tafsir tofaut. we hapo traffic akikukamata unaendesha speed akaamua kukuvua nguo na kukupiga viboko kwa kuhatarisha uhai wa watu, utarud hapa hapa kulalamika. penda kuheshim sheria. penda utawala wa sheria. kuwa na akili pia.
 
bonge kadhalilishwa sana. kama ni mimi ,baada ya hii adhabu ambayo haipo kisheria, ninaanza kutafuta mtu mmojammoja kwenye makazi yake na kumfanyia hivivi
kwa mtu anayejielewa na ANA NYENZO uko sahihi kabsa. kwamba umenihudumia nje ya sheria na mimi nitakulipa nje ya sheria. dhana ya utawala wa sheria ndo mboni ya haki na ustaarab. watu wengi wanapenda sheria tu kama ni kwa haki zao tu. serkali timamu haifanyi kazi kwa mhemko kama mtu. uzuri tuna serkali timam ila tuna watumishi wachache ambao ....
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.

Uzuri ni kwamba majinga yamejirekodi yenyewe. Ushahidi tosha...
Kesi imeisha hiyo!
 
Dada Anna Makakala, PhD, CG wa Uhamiaji,

Kama hii video utaiona, tafadhali chukua hatua dhidi ya hawa watumishi. Hii siyo taswira sahihi ya Jeshi lenye werevu.

You can do better and we expect you to do better.
 
Kama ni mwendo wa kujichukulia sheria naomba na sisi raia tujilinde hapo namuona huyo sgnt bonge aliyemkanyaga Teke anaishi ukonga, huyo jamaa anayemuuliza nikuonyeshe demo anaitwa alix..
 
Ficha upumbavu wako. Kwanini asipelekwe mahakamani? Hii nchi siyo ya manyani kila mtu kuchukuwa sheria mikononi! Idiot!
Na wewe kafanye utapeli kama wa huyo tapeli mwenzio ili wakupeleke mahakamani mkuu!! Ikiwezekana kafanye ujambazi kabisa ili wakupeleke mahakamani kwa raha zako!
 
Kama ni mwendo wa kujichukulia sheria naomba na sisi raia tujilinde hapo namuona huyo sgnt bonge aliyemkanyaga Teke anaishi ukonga, huyo jamaa anayemuuliza nikuonyeshe demo anaitwa alix..
Vipi na wewe unafanyakazi ya utapeli mkuu?
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.

Waziri tunaomba hatua zichukuliwe kwa hawa watu . Dola la kikatili kama ndui Idi Amin. looooooooooooooo
 
Na wewe kafanye utapeli kama wa huyo tapeli mwenzio ili wakupeleke mahakamani mkuu!! Ikiwezekana kafanye ujambazi kabisa ili wakupeleke mahakamani kwa raha zako!
Kuadhibu mtuhumiwa bila kumfikisha kwenye vyombo husika kunatoa loophole kwa watu wasiyo na nia njema kutenda unyama. Hii siyo kanuni yangu bali ni kanuni ya maisha yenye ukweli. Kuna raia wengi wasio na hatia wameathirika na wengine kuua kwa sababu ya hili jambo. Nchi ina sheria na taratibu. Ni lazima zifutwe.
 
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.

Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?

Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.

Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.

Hapa ni Tanzania au Sudan? pumbafu kabisa
 
HATA JAMAA MWENYEWE MPUMBAVU. NINGEKUA MIMI NISINGETII HATA MOJA YA AMRI WALIZOKUA WANAMPA. INGEBIDI WATUMIE NGUVU NA INGESAIDIA KUWAUMBUA ZAIDI JAMAA HAWA WALIOHARIBIWA NA AWAMU YA TANO.
 
Back
Top Bottom