Uhamiaji kitengo cha uraia kihamishiwe Tamisemi ili masuala ya raia ikiwemo makazi vishughulikiwe na watendaji katani.
Hawa maafisa uhamiaji baadhi waondolewe maofisini wapelekwe mipakani wakafanye patrol huko na kudhibiti wahamiaji haramu.
Mambo yanayowahusu raia ikiwemo utambulisho, makazi, umiliki wa ardhi, upigaji kura na kusafiri viratibiwe na Tamisemi, NIDA NEC na RITA.