Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
-
- #61
Hao nawaambiaga kama huna chenji nipe hela yangu, na kwa kulalamika ukitoa elfu 10 hawajambo.kuna huyo nlipanda bajaj yake Mbezi Shekilango tulivofikaa kimara nkampa ten ili aangalie ustaarabu wa chenchi mapema muda wa kushuka akaanza kulalamika chenchi hamna
Sipendi uchafu ni Mungu tu ndio anajua.Kabisa.
Ni mazoea tu.
Uchafu unatibika
TuacheeeeπWenye bodaboda wenu sasa tutawajua tu.
Kabisa.Sipendi uchafu ni Mungu tu ndio anajua.
πππππBajaji ndogo lakini sio zile za mnazimmoja to ferry π
ππππππTuacheeeeπ
Ninao 2, hata siku nikiogopa kulala mwenyewe huwa namuita mmoja aje kunibembeleza
Hakika madameKabisa.
Uchafu si siha njema
Wale sijui huwa wanaharakia wapiπππππ
Yeah Half americanHakika madame
Vipi lakini kwema? bado upo dom site
Kwani unawaza nn?Wale sijui huwa wanaharakia wapi
UsafiriKwani unawaza nn?
Wanaharakia wateja jamanii, ππππUsafiri
Uendeshaji wao ni mbovu, ukiwa unatumia usafiri wao huna haja ya kufanya mazoezi, kwa kurushwa rushwa humo ndani n mazoezi tosha.Wanaharakia wateja jamanii, ππππ
Kwa kweli, πππππUendeshaji wao ni mbovu, ukiwa unatumia usafiri wao huna haja ya kufanya mazoezi, kwa kurushwa rushwa humo ndani n mazoezi tosha.
Tabia yao ni kero sana na hao chenchi kwao sio changamoto ila wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa.Hata haw wa maafisa wa udart wanabakiwaga na 50 zetu ila cc tukiw na pungufu hawapokei
Ndio jina walilopewa na wasomi wetuEbwanaee, hao wahuni waendelee kuitwa jina lao halisi, bodaboda na bajaji, maafisa ni NIT, TRA, LATRA na wengine wenye ofisi za umma. Ni upotoshaji kuwaita maofisa wakati ni wahuni wa kijiweni
Boda boda wenu waswahili sana.Mie niliwahi muachia wa bajaji km mara 2, siku hyo nkapanda ingine, asiseme hana chenji, ile kumdai anaropoka "mbna fulani huwa una muachia tu"
Nlistukaa, nkamuachia yeye pia, toka hapo naandaa kiasi kamili cha nauli, sitaki kero.