Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Mkuu hii miaka 10 tutashuhudia mengi sana anadai kuketa boti za uvuvi mbona kwa nini asingeanza kwa waumini wake😁😁😁😁😁😁 inawezekana lisu alisema kweli kuna watu Yohana anawaokota majalalaniWana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.
Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.
Wakati akiwa kwenye saccos yenu mlikuwa mnamsifia sana tu ametoka amekuwa tapeli!! Wanasaccos naona akili zenu ni utopolo!!Hakuna mahali tapeli amewahi kuwa mkweli hata kwa kwake mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]Mzee wa filamu pendwa
Hakuna mahali tapeli amewahi kuwa mkweli hata kwa kwake mwenyewe
Wewe hoja yako ni IPiWapinzani bwana hamna hoja kabisa
Huna ushahidi wa unayoyasema zaidi ya porojo tulizozizoea kila sikuWewe hoja yako ni IPi
Kupora KOROSHO za WAKULIMA?
Kuua na kuteka watu wanaokupinga kimitizamo?
Kubomoa nyumba za watu bila kulipa fidia?
Kununua wabunge na madiwani kisha kuwarudisha kwa kupitia wizi wa kura?
ULISIKIA WAPI MBUNGE AKIJENGA BARABARA KWA PESA ZAKE CASH ? ALIZIPATAJE? ATALIPWAJE?
Ajenge kwanza kabisa lake
Siipendi Chadema lakini Kawe bora wampe HalimaWana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.
Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.
Let's wait and see.Unajua yule dada alisema ni 'Muhuni wa Kitaa'! Huyo dada si ndiyo atawavuruga Kawe kabisa akiruhusiwa kwenye sanduku la kura kuendelea kuwa Mbunge?
Umenikumbusha aliwahi kusema yeye ni zaidi ya Rais, inakuwaje sasa anautaka ubunge[emoji848][emoji848][emoji848]Alishasema kuwa mbunge ni kujishusha kaamua sasa sio tu kujishusha, kujidhalilisha
Ushahidi kwamba KOROSHO ziliporwa ? Mm ni kati ya walioporwa mzeeHuna ushahidi wa unayoyasema zaidi ya porojo tulizozizoea kila siku
Wewe ni Kangomba lazima useme uliporwa korosho. Kumbe Ben sanane ameuawa? Kama unaushahidi wa kutosha Katoe ushahidi wako polisi ili wauaji wakamatwe na haki itendeke. Huna jipya mzee mauaji ya kibiti yanahusika vipi na Magufuli?Ushahidi kwamba KOROSHO ziliporwa ? Mm ni kati ya walioporwa mzee
Ushahidi kwamba watu wameuwawwa na kuteka ben Sanane, azory gwanda, tundu Lisu na Mauaji ya kibiti.
Ushahidi kwamba watumishi hawajaongezewa mshahara mm mtumishi wa umma
Ushahidi kwamba nyumba zimebomolewa vila watu kulipa nenda KIMAra ukaone
Huyu ni raisi katili kuliko waliowahi kuwa makatili hapa nchini