Uchaguzi 2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

Uchaguzi 2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

Unajua nini maana ya kanisa?
Hujui......Nyani haoni kundule!.....Sijui....Kweli makanisa kama haya niyakufungwa tu!!
Screenshot_20200821-110745.png
 
Huyu jamaa ni tapeli la kupindukia kuweni makini huko kawe!
hakawii kuwaambia; mkifa atawafufua, viwete wote Kawe wataponyeshwa na wasiozaa Kawe yote watazaa!
Huyu ndie tapeli lililokubuhu
 
Mbwa mwitu wa kondoo za Bwana na askofu wa wajinga wala simumunyi maneno hapa na kama wewe unamfuata utaliwa tu kwani wajinga ndio waliwao. Kamwe hawezi kuwa mtumishi wa kweli wa Mungu aliye hai ni juu yako kuendelea kumwamini.
Sasa unatatizo gani pale Gwajima anapoamua kutomumunya maneno kwa yale anayoyaamini na kuyasimamia?
Pamoja na maelezo yako uliyokwisha yasema bado hujasema ni kwa namna gani Gwajima ni mtu hatari sana.
Umesema unamjua vizuri sana basi karibu sana mkuu katika kutuelezea uhatari wa Gwajima
 
Mchumia tumbo uyo yaani sakaka za kondoo anataka kujengea barabara

Mbaguzi uyo hatumkaki kawe
 
Wana JF,

Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.

Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.

Kwanza nashangaa unamwita askofu.

Hizi zote ni sifa zake:

1. Utapeli
2. Uongo
3. Uzushi
4. Ushirikina
5. Uzinzi
6. Kigeugeu n.k.
 
Wana JF,

Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.

Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mtu mwenyewe fedha ya matumizi inatokana na sadaka anayopiga kutoka kwa waumini. Huyu ni tapeli kama matapeli wengine tu.
 
CCM sijui waliwaza nini kumrudisha huyu mtu ambaye hata kura zake hazikutosha
 
Wana JF,

Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.

Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.

Gwaji Miuno Feniiiiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji28]
 
Ni bora mara elfu Gwajima kupewa jimbo kuliko mbunge wa sasa kuendelea kuwepo miaka mitano ijayo akaendelea kujibizana na mamlaka kwenye media huku wananchi wakiwa kama vile hawana mwakilishi.
 
Sasa unatatizo gani pale Gwajima anapoamua kutomumunya maneno kwa yale anayoyaamini na kuyasimamia?
Pamoja na maelezo yako uliyokwisha yasema bado hujasema ni kwa namna gani Gwajima ni mtu hatari sana.
Umesema unamjua vizuri sana basi karibu sana mkuu katika kutuelezea uhatari wa Gwajima
Soma hapo juu James Martin ametaja baadhi ya mambo ya Gwajima. Ndugu hii dunia ina watu waajabu sana usipokuwa na ufahamu wa kutosha unafikiri ni watu wazuri kumbe wapi.
 
Unajua yule dada alisema ni 'Muhuni wa Kitaa'! Huyo dada si ndiyo atawavuruga Kawe kabisa akiruhusiwa kwenye sanduku la kura kuendelea kuwa Mbunge?

Hizo swaga za kitaa ni kwa vijana wa mitaani. Kawe kuna waheshimiwa wengi sana walioshavuka hatua za kuwa na akili za kihuni.
 
Mimi siendi wala kusali kanisa lisilo na Shule, chuo, zahanati , kituo cha Afya, au Hospitali.
Ikitokea nimepelekwa kwa kutekwa sitoi sadaka wala fungu la kumi.
Kiufupi sipendi utapeli.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom