HAMNA MTU ANAYEWEZA KUZUIA HAKI YANGU YA KUFA-Rais Jumbe(Zanzibar).Kufa kwa Wazanzibar awataanza kufa leo
Wameshakufa sana na wengine vilema mbaka leo
Seif hata kovu hana
Na maisha yanaendelea
Vihele hele katika siasa uwa wa kwanza kutangulia kaburini seif anakuja kukaa mezani na dr Mwinyi anapewa umakamu wa rais maisha yanaendelea
Karai ushatangulia kaburini seif umemuacha uswahilini anakula bata
Hivi Zanzibar Kwanini wanapiga kura siku mbili ilihali wao Ni wachache kuliko Bara?Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Kwann vifunguliwe leo Hali siku ya kupiga kura ni keshoSafi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Za leo ni za wizi kesho ndo za halaliHivi Zanzibar Kwanini wanapiga kura siku mbili ilihali wao Ni wachache kuliko Bara?
Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?
Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.
Mbona huku Bara haipo hivyo?Polisi na JWTZ na jku na zec ndo siku yao Leo ya kupiga kura kuongeza idadi .
Si unajua tenaaa.
Kwanamna nilivyosikiliza maelezo kutoka ZEC nikwamba yeye hana sifa ya kupigakura leoAnakamatwa kwa sababu gani?
Mbona huku Bara haipo hivyo?
Una uhakika na unachoongea?Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Kwann Zanzibar kura zipigwe siku mbili tofauti na bara sikumoja ukizingatia Zanzibar ni eneo dogo Kama mkoa.
Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Kazi kwel kwelPolisi na JWTZ na jku na zec ndo siku yao Leo ya kupiga kura kuongeza idadi .
Si unajua tenaaa.
Kwani yeye si anatakiwa kupiga kura kesho sasa leo ni kihere here gani kimempeleka
Kwa nini akamatwe kutimiza haki yake ya kiraia kupiga kura ndo akamatwe?