Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Hatari.vinginevyo jahazi linazama.
Ccm wameshapiga ramli huko Zanzibar.wakaona bila kufanya hivyo leo.
Hawatoboi..
Kwa hyo leo wanaongezea na kesho wakipata hata kura 50 za raia na zile walizoziingiza kimagumashi na hizi za Leo za JWTZ na polisi na zec.
"HUSSEIN MWINYI AMESHINDA KWA 85%".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi kwel kwel
 
Kisa ni nini kuwe na siku mbili tofauti ya kupiga kura na makundi tofauti? Kuna ulazima wa kufanya hivyo? Je, walishirikisha? Hata kama tume si huru bado inahitajika kutumia busara!
Ubaguzi na kuendeleza hila za wizi wa kura.
 
Zanzibar kuna kura mbili

Kura za viongozi wa Serkali ya mapinduzi
Na kura za Rais Magufuli na wawakilishi

Zote hizo zinapigwa kesho na imekuwa hivyo miaka yote, leo ni makundi maalumu... kwa sababu zipi?
 
Hivi wakuu ni kweli Zanzíbar hawampendi Mwinyi kwa kua hakai Zanzibar au tunaaminishwa tu kwenye hizi mitandao ?
 
Zanzibar kuna kura mbili

Kura za viongozi wa Serkali ya mapinduzi

Na Rais Magufuli pamoja na wawakilishi
Zote hizo zinapigwa kesho na imekuwa hivyo miaka yote, leo ni makundi maalumu... kwa sababu zipi?
 
Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?

Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.
Tendeni haki tumechoka na mkoloni mweus FREE ZANZIBAR
 
Bbc Africa wanadai CCM ni chama kilichokaa madarakani miaka mingi Africa kuliko chama chochote cha siasa,haya ndo madhara yake,tuikatae kwenye sanduku la kura,mkoloni mweusi
 
Back
Top Bottom