Mkuu unafanya mzaha na mimi kitu ambacho siyo sahihi!Yaani umekutana na mtoto mkali ile mbaya ukampiga sound na akakubali fresh kisha ukapiga zako safari kadhaa plus mbege kisha ukatinga zako lodge ya maana na ghafla ukakuta mtoto ni bikira!Unataka kunidanganya bila haya ya kwamba utamwambia avae na aondoke zake?!
Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
Daah haya maneno yana ukali uliopitilizaSingle Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
Acha unafiki na uwongo ujasiri wa kukataa wanawake wanne wote wakiwa bikra huna labla uwe hausimamishi
Hujajibu swali langu mkuu!Mmeshafika lodge ukakuta hiyo pisi kali ni bikira, utaiambia ivae na iondoke zake?Mkuu, mimi nina misimamo na miiko, ukishalijua hilo basi.
Waulize wanaonijua humu kwa kukutana na mimi watakueleza,
Najua pisi zipo kali lakini ikishaniambia ni bikra, nakuhakikishia siwezi kuzigonga, zikagongwe huko mimi nikija naharibu kilichoharibiwa
Pinga na goma kumuunga mkono mpe madhara yake. Halafu anakimbilia nini kwa umri wake mpaka anaenda kuchukua used. Kaa nae ongea naeMkuu ni kweli kabisa.
Mimi hata dunia nzima isiponiunga mkono, nitabaki hivi nilivyo, siwezi ruhusu kama niishivyo
Pinga na goma kumuunga mkono mpe madhara yake. Halafu anakimbilia nini kwa umri wake mpaka anaenda kuchukua used. Kaa nae ongea nae
Mimi nina historia mbaya sana na single mother hawa wajinga sana. Wanaakili zinafanana. Kuna mmoja alinikataa akaenda kuzaa na mume wa mtu jamaa likaingia mitini akaja kujiliza nikampa makavu kbs. Sasa hivi anatanga na sayari dunia. Aachane dogo kukimbilia hayo mambo mshauri na mpe muongozo ni vyema kawa na kichwa cha kuelewa.Keshakubali yaishe,
Si unajua mapenzi ya ukubwa, ndio kapo mwaka wa mwisho chuoni. Kameanza mapenzi kakiwa chuo, naona bado kana wenge
Maneno na matendo ni vitu viwili tofauti ndiyo maana hata Petro alipiga mkwara kuwa hatamsaliti Yesu lakini haikuwa hivyo!Ninaacha ndio.
Bikra siwezi toa kwa mwanamke ambaye sitamuoa,
Siwezi toomba mke wa mtu
Hiyo ni miiko
Mimi nina historia mbaya sana na single mother hawa wajinga sana. Wanaakili zinafanana. Kuna mmoja alinikataa akaenda kuzaa na mume wa mtu jamaa likaingia mitini akaja kujiliza nikampa makavu kbs. Sasa hivi anatanga na sayari dunia. Aachane dogo kukimbilia hayo mambo mshauri na mpe muongozo ni vyema kawa na kichwa cha kuelewa.
Uache unafiki na kiherehere, mahusiano ya mdogo wako afu unaleta gubuuh, ajabu wee wa kiume hujistukii?Jah aliyemtoa hiyo bikra ndio mwema kwake na kwa wafuasi wa ukahaba.
Hatuwezi oa uchafu.
Hatuwezi abudu Jah wa namna hiyo.
Aende kwa Jah wake huyo aliyemtoa bikra
Hii stori ni mara ya pili nakutana nayo, sikumbuki tu vizuri niliikuta wapi!
Uache unafiki na kiherehere, mahusiano ya mdogo wako afu unaleta gubuuh, ajabu wee wa kiume hujistukii?
Na huyo mdogo ako kakustahi, ilibidi akuombe wee umpe hyo bikra yako.
Maan unaona wivu shemejio kuwa na mdogo ako,
Tabia za mawifi zimehamia kwa mashemeji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia simama nishuke.
Mkuu bikra anakuaje single motherDogo alishindwa nini kusema huyo mchumba ni bikta? Mbona sioni utata.
Hongereni kwa hilo, na nyie tunzeni hizo bikra zenu hadi kuoana. Sio kutafta bikra kwa mwanamke, ili hali nyie kuloweka mnaloweka, huo ni unafiki.Vyovyote usemavyo ila siwezi peleka mahari ya mdogo wangu aende akaoe mwanamke asiye na bikra tena mwenye mtoto.
Sijamkataza yeye kwenda, anaweza kwenda na mtu mwingine lakini sio mimi.
Kwa bahati mbaya ni kuwa kwenye familia yetu moja ya miiko ni kuwa huwezi oa mwanamke asiye na bikra, kwa hiyo hilo halitawezekana.
Ninyi msio na unafiki kaoeni tuu hakuna aliyewakataza.
Familia isiyo na miiko ni kama wanyama tuu
Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakaeWewe jamaa ni lofa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati dada zako siyo bikira na wataolewa/waliolewa.
2.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako ni vinara wa kuharibu na kuchafua mabinti za watu na huenda huwa mnakula mpaka tigo kabisa.
3.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako siyo mabikira.
Kwa kifupi ulichoshauri ni non-sense,wewe pamoja na hao waliokuunga mkono ni mapunguani!