Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu unafanya mzaha na mimi kitu ambacho siyo sahihi!Yaani umekutana na mtoto mkali ile mbaya ukampiga sound na akakubali fresh kisha ukapiga zako safari kadhaa plus mbege kisha ukatinga zako lodge ya maana na ghafla ukakuta mtoto ni bikira!Unataka kunidanganya bila haya ya kwamba utamwambia avae na aondoke zake?!

Mkuu, mimi nina misimamo na miiko, ukishalijua hilo basi.

Waulize wanaonijua humu kwa kukutana na mimi watakueleza,

Najua pisi zipo kali lakini ikishaniambia ni bikra, nakuhakikishia siwezi kuzigonga, zikagongwe huko mimi nikija naharibu kilichoharibiwa
 
Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.

Mkuu ni kweli kabisa.

Mimi hata dunia nzima isiponiunga mkono, nitabaki hivi nilivyo, siwezi ruhusu kama niishivyo
 
Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
Daah haya maneno yana ukali uliopitiliza
 
Acha unafiki na uwongo ujasiri wa kukataa wanawake wanne wote wakiwa bikra huna labla uwe hausimamishi

Wanawake sijawajua jana.

Siwezi simamisha ili niharibu mwanamke bikra ambaye sitamuoa,

Siwezi toka na mke wa mtu
Hiyo ni miiko binafsi, kama utaona ni unafiki sawa, ila wewe kama ni mwanamke mwenye bikra ruksa kunijaribu.
Lakini kama huna bikra huna haja ya kunijaribu
 
Mkuu, mimi nina misimamo na miiko, ukishalijua hilo basi.

Waulize wanaonijua humu kwa kukutana na mimi watakueleza,

Najua pisi zipo kali lakini ikishaniambia ni bikra, nakuhakikishia siwezi kuzigonga, zikagongwe huko mimi nikija naharibu kilichoharibiwa
Hujajibu swali langu mkuu!Mmeshafika lodge ukakuta hiyo pisi kali ni bikira, utaiambia ivae na iondoke zake?
 
Mkuu ni kweli kabisa.

Mimi hata dunia nzima isiponiunga mkono, nitabaki hivi nilivyo, siwezi ruhusu kama niishivyo
Pinga na goma kumuunga mkono mpe madhara yake. Halafu anakimbilia nini kwa umri wake mpaka anaenda kuchukua used. Kaa nae ongea nae
 
Hujajibu swali langu mkuu!Mmeshafika lodge ukakuta hiyo pisi kali ni bikira utaiambia ivae na iondoke zake?

Ninaacha ndio.

Bikra siwezi toa kwa mwanamke ambaye sitamuoa,
Siwezi toomba mke wa mtu

Hiyo ni miiko
 
Pinga na goma kumuunga mkono mpe madhara yake. Halafu anakimbilia nini kwa umri wake mpaka anaenda kuchukua used. Kaa nae ongea nae

Keshakubali yaishe,

Si unajua mapenzi ya ukubwa, ndio kapo mwaka wa mwisho chuoni. Kameanza mapenzi kakiwa chuo, naona bado kana wenge
 
Keshakubali yaishe,

Si unajua mapenzi ya ukubwa, ndio kapo mwaka wa mwisho chuoni. Kameanza mapenzi kakiwa chuo, naona bado kana wenge
Mimi nina historia mbaya sana na single mother hawa wajinga sana. Wanaakili zinafanana. Kuna mmoja alinikataa akaenda kuzaa na mume wa mtu jamaa likaingia mitini akaja kujiliza nikampa makavu kbs. Sasa hivi anatanga na sayari dunia. Aachane dogo kukimbilia hayo mambo mshauri na mpe muongozo ni vyema kawa na kichwa cha kuelewa.
 
Ninaacha ndio.

Bikra siwezi toa kwa mwanamke ambaye sitamuoa,
Siwezi toomba mke wa mtu

Hiyo ni miiko
Maneno na matendo ni vitu viwili tofauti ndiyo maana hata Petro alipiga mkwara kuwa hatamsaliti Yesu lakini haikuwa hivyo!
 
Mimi nina historia mbaya sana na single mother hawa wajinga sana. Wanaakili zinafanana. Kuna mmoja alinikataa akaenda kuzaa na mume wa mtu jamaa likaingia mitini akaja kujiliza nikampa makavu kbs. Sasa hivi anatanga na sayari dunia. Aachane dogo kukimbilia hayo mambo mshauri na mpe muongozo ni vyema kawa na kichwa cha kuelewa.

Hakika, humu wengi wanamifano ya kutosha sema wameshaathirika na upuuzi, ogopa kitu inaitwa madawa ya kulevya. Hiyo kitu ni moja ya madawa ya kulevya
 
Hii stori ni mara ya pili nakutana nayo, sikumbuki tu vizuri niliikuta wapi!
 
Jah aliyemtoa hiyo bikra ndio mwema kwake na kwa wafuasi wa ukahaba.
Hatuwezi oa uchafu.
Hatuwezi abudu Jah wa namna hiyo.
Aende kwa Jah wake huyo aliyemtoa bikra
Uache unafiki na kiherehere, mahusiano ya mdogo wako afu unaleta gubuuh, ajabu wee wa kiume hujistukii?
Na huyo mdogo ako kakustahi, ilibidi akuombe wee umpe hyo bikra yako.
Maan unaona wivu shemejio kuwa na mdogo ako,
Tabia za mawifi zimehamia kwa mashemeji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia simama nishuke.
 
Hii stori ni mara ya pili nakutana nayo, sikumbuki tu vizuri niliikuta wapi!

Nashangaa wengine wanaona kama uongo, yaani wanaona haiwezekani.

Kuna familia hawataki kabisa masikini
Kuna familia hawataki asiye na bikra
Kuna familia hawataki uoe mwanamke mwenye asili ya uchawi
Kuna familia hawataki uoena dini fulani kwa vyovyote
Kuna familia hawataki uoe na aina fulani ya kazi kwa mfano Polisi au mwanasheria au msanii
Kuna familia hawataki uoe mwanamke mfupi
Kuna familia hawataki uoe kabila au taifa fulani
Alafu sio ombi ni lazima.

Lakini vifamilia upuuzi ndio vinachukulia mambo easy, utasikia vinasema kwani naolewa na ukoo au naoa ukoo, yaani umasikini ni mbaya sana
 
Uache unafiki na kiherehere, mahusiano ya mdogo wako afu unaleta gubuuh, ajabu wee wa kiume hujistukii?
Na huyo mdogo ako kakustahi, ilibidi akuombe wee umpe hyo bikra yako.
Maan unaona wivu shemejio kuwa na mdogo ako,
Tabia za mawifi zimehamia kwa mashemeji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia simama nishuke.

Vyovyote usemavyo ila siwezi peleka mahari ya mdogo wangu aende akaoe mwanamke asiye na bikra tena mwenye mtoto.
Sijamkataza yeye kwenda, anaweza kwenda na mtu mwingine lakini sio mimi.

Kwa bahati mbaya ni kuwa kwenye familia yetu moja ya miiko ni kuwa huwezi oa mwanamke asiye na bikra, kwa hiyo hilo halitawezekana.

Ninyi msio na unafiki kaoeni tuu hakuna aliyewakataza.

Familia isiyo na miiko ni kama wanyama tuu
 
Kikao cha familia kilikuwa na watu KUMI wakiwemo WATOTO WADOGO wawili, katika hao sijaona MKEO akitajwa hivyo ni wazi wewe bado MVULANA... mdogo wako kakomaa kiakili umemzidi umri tu.

Kaa kwa kutulia acha wivu na hayo mawazo tamanifu ya kusadikika, endelea kukenua na kufurahia SODA kreti za kununuliwa na BABA yako!
 
Vyovyote usemavyo ila siwezi peleka mahari ya mdogo wangu aende akaoe mwanamke asiye na bikra tena mwenye mtoto.
Sijamkataza yeye kwenda, anaweza kwenda na mtu mwingine lakini sio mimi.

Kwa bahati mbaya ni kuwa kwenye familia yetu moja ya miiko ni kuwa huwezi oa mwanamke asiye na bikra, kwa hiyo hilo halitawezekana.

Ninyi msio na unafiki kaoeni tuu hakuna aliyewakataza.

Familia isiyo na miiko ni kama wanyama tuu
Hongereni kwa hilo, na nyie tunzeni hizo bikra zenu hadi kuoana. Sio kutafta bikra kwa mwanamke, ili hali nyie kuloweka mnaloweka, huo ni unafiki.
 
Wewe jamaa ni lofa kutokana na sababu zifuatazo:

1.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati dada zako siyo bikira na wataolewa/waliolewa.

2.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako ni vinara wa kuharibu na kuchafua mabinti za watu na huenda huwa mnakula mpaka tigo kabisa.

3.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako siyo mabikira.

Kwa kifupi ulichoshauri ni non-sense,wewe pamoja na hao waliokuunga mkono ni mapunguani!
Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakae
 
Back
Top Bottom