Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hilo ndio kosa lenu, kwani kwa uwelewa wako BIKRA NI NINI?? tuanzie hapo kwanza.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.

Bila shaka umefika chuo Mkuu.
Mimi nimetumia reference ya Biblia na Hata Quran kwa kutambua bikra kwa wanawake. Naomba unipe Reference inayothibitisha kuwa wanaume nao wana bikra.
 
Bila shaka umefika chuo Mkuu.
Mimi nimetumia reference ya Biblia na Hata Quran kwa kutambua bikra kwa wanawake. Naomba unipe Reference inayothibitisha kuwa wanaume nao wana bikra.
Nimekuuliza BIKRA ni nini?? ili tuanzie hapo na sio maelezo mareeeefu.

Vitabu vya dini vimesema mwanaume azini lakini mwanamke asizini???

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Mwanamke bikra akikojoa chini anachimba au kasi ya mkoja utaisikia tu inavyoita ila ambaye siyo bikra... Ngoja niishie hapa.
Bro, uke una tundu mbili, ya mkojo na uzazi havina uhusiano kabisa, story za vijiweni sijui kuchimba sijui kufukia.... lol

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Nimekuuliza BIKRA ni nini?? ili tuanzie hapo na sio maelezo mareeeefu.

Vitabu vya dini vimesema mwanaume azini lakini mwanamke asizini???

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.

Wapi nimesema kuwa mwanaume azini Mkuu? Soma vizuri mada.
 
Nimekuuliza BIKRA ni nini?? ili tuanzie hapo na sio maelezo mareeeefu.

Vitabu vya dini vimesema mwanaume azini lakini mwanamke asizini???

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.

Tukija kwenye swali lako, Bikra ni alama aliyopewa mwanamke kuonyesha kuwa hajawahi kujamiana na mwanaume.

Kumbukumbu la torati 22
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,

14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;

15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;

16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;

17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.

Hayo maneno niliyo ya bold umeyaona. Mwanaume hana hizo alama
 
Sawa vifungu vya biblia vimeonesha alama za mwanamke lakini tukija kwenye neno lenyewe ni kua BIKRA ni Me/Ke ambae hajawahi kujamiiana,

Tukirudi kwenye mada yako ni kua umewashambulia wanawake wasiokua na bikra badala ya kuongelea pande zote mbili, sababu mwanaume kama kashiriki tendo na yeye ni used a.k.a srepa (lol[emoji1])
alipaswa afunge zipu mpaka pale atakapo mpata bikra mwenzie waoane.

Au unasemaje hapo braza kaka.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Mkuu nimekuambia weka reference ya hujaweka. Chuoni hujafundishwa kuweka reference
 
Mwanaume pia anapaswa ajiheshimu na kushika amri za Mungu. Lakini kwa upande wa matumizi huwezi linganisha mwanaume na mwanamke kutokana na kuwa mmoja anatumiwa na mwingine wakati mwingine ni mtumiaji tuu.
 
Bikra imeweka pale kwasababu zake,lile ni agano sababu damu inamwagika pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebbeeca Dada angu mtabishana ila huwezi kumuelewa kwasababu wewe sio mwanaume, thamani ya bikra anayeiona ni mwanaume,kwa mfano mtu anaoa halafu mwanamke anayemuoa anajua kabisa huyu mwanamke alishawahi kuwa na mtu flani kimapenzi,kuna feeling wewe huwezi kuifeel kwasababu sio mwanaume, ila walio oa wanawake bikra mahusiano yao yanakuwa mazuri hasa kwa mwanaume
 
hunijui na wala hutanijua kamwe..kama sijaweza kukuonyesha mambo yalivyo flexible na sio ya mlengo mmoja then kosa ni langu,najilaumu..ciao
Yap ni kweli mwanamke bikra ana heshima zaidi kuliko asiye bikra hasa kwa sisi wanaume, hiyo ni kweli kabisa Rebecca jamaa yupo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…