Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi ni mzuri ila haujakamilika ongezea nyama kidogo

Halafu nakukumbusha tena na tena kwa nia njema

Mapenzi hayana hayo mambo mkuu
Usishangae wewe ukaja kumpenda muuza bar na ukawa kiziwi hata usisikie ushauri wa sisi marafiki zako

Napenzi yana sili sana msipende kuongea mambo kiwepesi wepesi
 
Jana kuna mdau humu alitwambia wanawake wanaofanya kazi wanagongwa maofsini.

Mwanamke bikra utampata wapi dunia ya sasa?
 


Mtazamo huo wanao Loser, watu walioshindwa na maisha.

Mimi siwezi kuoa mwanamke asiye na sifa nisizozitaka.

Hata hivyo nimeshaoa 2013.

Mimi nioe Barmaid, you can't be serious
 
Ila siyo siri hili jukwaa limeharibiwa sana na teenagers.

Zamani haikuwa hivi.
Mzee unaumia watu wasioe sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa utakula spana mpaka urudi shamba huko Shinyanga ukalime.
 
Tayali ana mke mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama hana lkn umetoboa weye?
 
Hivi wakubwa unaanzaje kuoa mwanamke ambaye sio bikra ? HOW

Nashindwa kuelewa jamani japo mimi bado sijaoa lakini hii kitu haiwezi happen hata awe na miuno kama feni bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…