Wapo ambao waliamin uchawi ni habari tu za kufikirika ila baada ya kupata ya kuwapata now days wanajua kila kona wanapokaa waganga wa kienyejiMtazamo huo wanao Loser, watu walioshindwa na maisha.
Mimi siwezi kuoa mwanamke asiye na sifa nisizozitaka.
Hata hivyo nimeshaoa 2013.
Mimi nioe Barmaid, you can't be serious
Ni kwa kubahatisha aisee,yaani kila ninayempata walishamalizana nae kitambo tu.Wapo, umeshindwa wewe wenzio wanawapata.
Ukiamua unampata ni maamuzi yakoAlie bikira ulimwengu huu utampataje sasa?
😂😂😂
Kama hana lkn umetoboa weye?
[/QUOT
Oa mwanamke ambaye laki mbili tatu hazimpigi chenga.
Sio hawa ambao mpaka pesa ya chupi anakukodolea macho.
Naomba unijibu; uliwahi kulala kitanda chenye kunguni?" Kama umewahi basi ndivyo wanawake masikini walivyo
Hivi wakubwa unaanzaje kuoa mwanamke ambaye sio bikra ? HOW
Nashindwa kuelewa jamani japo mimi bado sijaoa lakini hii kitu haiwezi happen hata awe na miuno kama feni bovu
Siyo kosa lako, ukikuwa utaacha.🙏🙏Mzee unaumia watu wasioe sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa utakula spana mpaka urudi shamba huko Shinyanga ukalime.
Nimeshakua ila unawa-attack sana wasiotaka kuoa na wanaoweka vigezo vya ubikra, kwa nini?Siyo kosa lako, ukikuwa utaacha.[emoji120][emoji120]
Kupata alie bikira ni jambo jepesi??kweli?pengine ni mimi tu ndo niliambulia kukutana naoKama unashindwa kupata Jambo dogo Kama hilo ni lipi utaweza kwenye hii dunia.
Bikra zinapatikana, sema watu hawaoni umuhimu wake mpaka wakikutwa na madhila ya Wanawake huko ndoani
Kwahiyo kwasababu mzazi alifanya naye ndio arudie makosa yale yale? Hapa ndio wazungu wametushinda, kwao nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi sio eti kisa kafanya mzazi ndio nyeupe iwe nyeusi.Baba yako sidhan kama alimkuta mama yako akiwa bikra...HESHIMU WAKUBWA ZAKO...
Kupata alie bikira ni jambo jepesi??kweli?pengine ni mimi tu ndo niliambulia kukutana nao
Yaani hapa watakula spana na maji wataita mma. Kuna mzee mmoja anaitwa Matola nimemchana hapo juu, huyu dingi quote zake nyingi ni za kutusi wale wasiotaka kuoa na wanaoweka vigezo vya ubikra. Yaani atakula spana huyu dingi mpaka ahame JF
Okay