Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Alie bikira ulimwengu huu utampataje sasa?

Kama unashindwa kupata Jambo dogo Kama hilo ni lipi utaweza kwenye hii dunia.

Bikra zinapatikana, sema watu hawaoni umuhimu wake mpaka wakikutwa na madhila ya Wanawake huko ndoani
 
Mkuu nakubali ila najua kuna watu watakupinga sna

Nina mpango wa kumuanzishia wife biashara.
 
Mtazamo huo wanao Loser, watu walioshindwa na maisha.

Mimi siwezi kuoa mwanamke asiye na sifa nisizozitaka.

Hata hivyo nimeshaoa 2013.

Mimi nioe Barmaid, you can't be serious
Wapo ambao waliamin uchawi ni habari tu za kufikirika ila baada ya kupata ya kuwapata now days wanajua kila kona wanapokaa waganga wa kienyeji

Omba Mungu mkuu haya mambo sio ya kulopoka baada ya kushiba ugal na matembele
 
😂😂😂
Kama hana lkn umetoboa weye?
[/QUOT

Oa mwanamke ambaye laki mbili tatu hazimpigi chenga.

Sio hawa ambao mpaka pesa ya chupi anakukodolea macho.

Naomba unijibu; uliwahi kulala kitanda chenye kunguni?" Kama umewahi basi ndivyo wanawake masikini walivyo
 
Yaani hapa watakula spana na maji wataita mma. Kuna mzee mmoja anaitwa Matola nimemchana hapo juu, huyu dingi quote zake nyingi ni za kutusi wale wasiotaka kuoa na wanaoweka vigezo vya ubikra. Yaani atakula spana huyu dingi mpaka ahame JF
 
Kama unashindwa kupata Jambo dogo Kama hilo ni lipi utaweza kwenye hii dunia.

Bikra zinapatikana, sema watu hawaoni umuhimu wake mpaka wakikutwa na madhila ya Wanawake huko ndoani
Kupata alie bikira ni jambo jepesi??kweli?pengine ni mimi tu ndo niliambulia kukutana nao
 
Baba yako sidhan kama alimkuta mama yako akiwa bikra...HESHIMU WAKUBWA ZAKO...
Kwahiyo kwasababu mzazi alifanya naye ndio arudie makosa yale yale? Hapa ndio wazungu wametushinda, kwao nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi sio eti kisa kafanya mzazi ndio nyeupe iwe nyeusi.
 
Kupata alie bikira ni jambo jepesi??kweli?pengine ni mimi tu ndo niliambulia kukutana nao

Jambo jepesi Sana Mkuu.

Labda kumshawishi na kumfanya akupende ndio kazi.

Bikra zimejaa mno, tena mwaka huu nenda vyuoni huko mwaka wa Kwanza zipo za kutosha tuu.
 
Yaani hapa watakula spana na maji wataita mma. Kuna mzee mmoja anaitwa Matola nimemchana hapo juu, huyu dingi quote zake nyingi ni za kutusi wale wasiotaka kuoa na wanaoweka vigezo vya ubikra. Yaani atakula spana huyu dingi mpaka ahame JF

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2021
Last seen 2 minutes ago
 
Back
Top Bottom