Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

naweza sema hakuna mwanamke asiyehitaji mume sema wengi huridhika kuishi kama walivyo kwa sababu fulani may be hawezi pata mtoto, ametumika sana inafika hatua anajishusha thamani mwenyewe anasema bora iende, hatongozwi, ampendae ampendi nk....ila nakazia bikira anaviwango vya tbs na wanaume wengi ni ndoto zao kuoa bikira na huwa wanaeshimika sana na wanaume
 


Nimefurahi kuona kumbe unaakili kidogo ya kutambua kuwa kuoa bikra kuna heshima na kuna kufanya umpe mke wako heshima.
 


Watu watatoa bikra kwa sababu nimetumia lugha kali. Na mimi nimewapa kibali waache mkuu.
 
utake bikra wakati huo na wewe bikra au umechakachuliwa tayari.
 

Asilimia kubwa ya wanawake huzaliwa wakiwa hawana bikira. Na wale waliozaliwa na bikra, bikra zao hutoweka kwa njia nyingi kama mazoezi, kujichokonoa au kuchokonolewa, kufanya tendo la ndoa nk.

Watu wengi wasiokuwa na elimu juu ya viungo vya uzazi wa mwanamke hudhani kuwa mwanamke bikra huwa na uke uliozibwa na utando kama buibui. Ukweli ni kwamba hakuna utando wowote unaoziba uke.Mtoto mchanga aliezaliwa leo uke wake uko wazi na ncha ya peni inaweza kupenya bila shida yeyote.

Kumtoa bikra mwanamke wakati wa ngono na kusababisha damu kutoka huwa inategemeana na ukubwa wa uume atakaokutana nao.Uume mdogo kamwe hauwezi kumtoa damu mwanamke ambae ni bikra. Bikra ni moja ya jambo tata dunia nzima ambalo halina maana yeyote.

Hata mahakama zote duniani hazina sheria ya kumtia hatiani mtu anaetuhumiwa kuharibu bikra ya mtu kwa sababu wanawake wengi wanazaliwa hawana bikra kabisa na wengine wengi wenye kuwa na bikra huziharibu wenyewe wakiwa wadogo kwa njia nilizoeleza hapo mwanzo.Kuna wanawake wengi ambao huwadanganya wachumba wao kuwa ni bikra ili aolewe kwa heshima huwa wanafanya ujanja wa kukwepa kufanya tendo la ndoa kwa muda na siku ya kukubali hutegea akiwa hedhi.

Atakusumbua akijifanya anaogopa kuumia lakini anakuja kukuachia uingize na ghafla ana kusukuma na ukichunguza utaona damu.Wewe utajiona jemadari kwa kumbikri kumbe zile damu ni za hedhi !!.Kwa ujumla bikra ni kitu kisicho na maana yeyote lakini kimebeba taswiri nzito mioyoni mwa watu. Bikra ni nini ?

Bikra ni utando mdogo uliochini ya kirinda ( hymen ) wenye umbo la mwezi mchanga . Wengine huzaliwa nao na wengine huzaliwa bila utando huo.
 
Nimefurahi kuona kumbe unaakili kidogo ya kutambua kuwa kuoa bikra kuna heshima na kuna kufanya umpe mke wako heshima.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti "nimefurahi kuona unaakili kodogo..."

Inafurahisha kidogo ila inakera saanaa kukuta kuna lijinga moja senge lisilojielewa linaanza kukukadiria akili, inaboa sana

Mbaya zaidi jitu hilo hata ulieleweshe hayaingii kichwanii... sijui ndo semaji la familia ndomana linaamini lenyewe ndo kinaraa....

Utakufa na ujinga wako nakwambia...
Na uzao wako utadhalilika sana kwasababu ya hizo bikira unazoziimba hapa

Af usijekuta hata huyo mwenye bikra huna...
 


Suala la bikra limekaa kiimani na kimaadili Mkuu. Hakuna mwanamke ambaye hakuzaliwa na bikra kama alizaliwa akiwa na uke uliokamilika.
 


Niliruhusu Povu Mkuu. Hivyo litoe kwa kadiri ya ulivyokirimiwa. Kwa hiyo unadhani maneno yako ndio yatakuwa ukweli kisa umeambiwa ukweli. Bikra ni muhimu kwa wanaume wenye akili (kumbuka si lazima).
 
Kweli ujinga mwingine ni wakuzaliwanao.

Si ndio maana mtu anaoa asiyebikra wakati bikra wapo. Ni sawa uende harusini ukute sahani mbili. Moja chakula chake hakiguswa wala kuliwa na ya pili imefokolewa fokolewa yaani makombo alafu uchukue iliyonyofolewa then uwaambie watu unaakili.
 
Si ndio maana mtu anaoa asiyebikra wakati bikra wapo. Ni sawa uende harusini ukute sahani mbili. Moja chakula chake hakiguswa wala kuliwa na ya pili imefokolewa fokolewa yaani makombo alafu uchukue iliyonyofolewa then uwaambie watu unaakili.
hahahaaaa....! kwa huo mfano asipoelewa atajifanya kakaza tu ubongo.....dah umefikiria sana
 
Si ndio maana mtu anaoa asiyebikra wakati bikra wapo. Ni sawa uende harusini ukute sahani mbili. Moja chakula chake hakiguswa wala kuliwa na ya pili imefokolewa fokolewa yaani makombo alafu uchukue iliyonyofolewa then uwaambie watu unaakili.
Unaakili nyingi sana mkuu, bila shaka na macho ya rohoni unayo kiasi kwamba unaweza ukamcheki tu hivi mcute ukaona mpaka ndani sana ukatambua hapa bikra, hapa sio.

Me akili nyingi za hivyo sihitaji, nilizonazo zinanitosha kutawala mazingira niliyonayo (naamini umeelewa hapo, maana we c ndo mwenye akili nyingi), hizo zakugundulia bikra sina na sizitaki. Endelea kuchungulia uvunguni kwa mamazako.

JF kila mtu Einstein kasoro mimi tuu...
 
Anayeheshimika...
 
hahahaaaa....! kwa huo mfano asipoelewa atajifanya kakaza tu ubongo.....dah umefikiria sana


Mwanadamu ameshindika huoni hata Mungu alighairi kwa nini alimuumba. Mtu anaambiwa usivute sigara ni hatari kwa afya yako alafu anavuta Sembuse mwanamke asiye na bikra si unataka akuone chizi. Ndio watu hao.
 


Mkuu, mwanamke akiwa bikra unamjua hata kama hujaona. Kama huna uelewa na mambo hayo si unamuuliza tuu. Mambo mengine mepesi sana. Au unaogopa Bikra feki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…