Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ni nani hata amekwambia kwamba hao Wanawake uliowataja wanapenda au lengo lao maishani mwao ni kuolewa? Kuna watu wameridhika na maisha yao jinsi yalivyo kama wewe labda ulivyoridhika na yako, waache watu wawe jinsi wanavyotaka kuwa, wewe weka hiyo bikira na subiri Mwanamke/Mwanaume ambaye mtafanana yaani wote bikra muoane muwe na furaha kama wengine walivyo na furaha kuishi bila bikira na siyo ishu kwao!
naweza sema hakuna mwanamke asiyehitaji mume sema wengi huridhika kuishi kama walivyo kwa sababu fulani may be hawezi pata mtoto, ametumika sana inafika hatua anajishusha thamani mwenyewe anasema bora iende, hatongozwi, ampendae ampendi nk....ila nakazia bikira anaviwango vya tbs na wanaume wengi ni ndoto zao kuoa bikira na huwa wanaeshimika sana na wanaume
 
Mimi hali yangu sina shaka nayo (nadhani pia sio jukumu lako kunikumbusha kuhusu hiyo).

Ninachokiona hapa ni nguvu yakuukumbatia ujinga na kuufanya sehemu ya maisha.

Nikweli kuwa heshima na thamani ya mwanamke(kwenye ndoa) inakua juu pale anapoutunza usichana wake mpaka ndoa.

Ninachokiona kua ujinga hapo ni kudhani kwamba ni wanaume WAJINGA tuu na WANAOJIDHARAU ndo huoa wasio na bikira.

Hivi ni kweli thamani yote ya mwanamke imeshia kwenye bikira tuu?

Hivi ni kweli werevu na kujithamini kwa mwanaume kipimo chake ni kuoa bikira tuu?

Kama baba yako sio 80+, ipo possibility yakwamba alioa asiye bikira. Mfikirie umuhusishe na huu uliouita ujinga, halafu fikiria uzao wa mjinga utakuaje (mind u, ujinga ni generational)

Nimefurahi kuona kumbe unaakili kidogo ya kutambua kuwa kuoa bikra kuna heshima na kuna kufanya umpe mke wako heshima.
 
naweza sema hakuna mwanamke asiyehitaji mume sema wengi huridhika kuishi kama walivyo kwa sababu fulani may be hawezi pata mtoto,ametumika sana inafika hatua anajishusha thamani mwenyewe anasema bora iende,hatongozwi,ampendae ampendi nk....ila nakazia bikira anaviwango vya tbs na wanaume wengi ni ndoto zao kuoa bikira na huwa wanaeshimika sana na wanaume

Watu watatoa bikra kwa sababu nimetumia lugha kali. Na mimi nimewapa kibali waache mkuu.
 
Habari Wakuu!

Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wakina Amber Rutty kwa kweli kuolewa wacha waiite Bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na wale dizaini ya kina Wema.

Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye. Hakika inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo. Lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana. Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.

Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.

Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka. Kuolewa ni bahati kwa wanawake wasio na Bikra lakini ni lazima kwa wanawake wenye bikra.

Sasa Hivi atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 24 awe mzuri kama malaika aseme anataka kuolewa uone kama hata chukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.

Sijui kwa nini watu hawaelewi mambo madogo kama haya.

Povu linaruhusiwa. Hasa kwa wanawake wenye mrengo wa Amber Rutty
utake bikra wakati huo na wewe bikra au umechakachuliwa tayari.
 
Asilimia kubwa ya wanawake huzaliwa wakiwa hawana bikira. Na wale waliozaliwa na bikra, bikra zao hutoweka kwa njia nyingi kama mazoezi, kujichokonoa au kuchokonolewa, kufanya tendo la ndoa nk.

Watu wengi wasiokuwa na elimu juu ya viungo vya uzazi wa mwanamke hudhani kuwa mwanamke bikra huwa na uke uliozibwa na utando kama buibui. Ukweli ni kwamba hakuna utando wowote unaoziba uke.Mtoto mchanga aliezaliwa leo uke wake uko wazi na ncha ya peni inaweza kupenya bila shida yeyote.

Kumtoa bikra mwanamke wakati wa ngono na kusababisha damu kutoka huwa inategemeana na ukubwa wa uume atakaokutana nao.Uume mdogo kamwe hauwezi kumtoa damu mwanamke ambae ni bikra. Bikra ni moja ya jambo tata dunia nzima ambalo halina maana yeyote.

Hata mahakama zote duniani hazina sheria ya kumtia hatiani mtu anaetuhumiwa kuharibu bikra ya mtu kwa sababu wanawake wengi wanazaliwa hawana bikra kabisa na wengine wengi wenye kuwa na bikra huziharibu wenyewe wakiwa wadogo kwa njia nilizoeleza hapo mwanzo.Kuna wanawake wengi ambao huwadanganya wachumba wao kuwa ni bikra ili aolewe kwa heshima huwa wanafanya ujanja wa kukwepa kufanya tendo la ndoa kwa muda na siku ya kukubali hutegea akiwa hedhi.

Atakusumbua akijifanya anaogopa kuumia lakini anakuja kukuachia uingize na ghafla ana kusukuma na ukichunguza utaona damu.Wewe utajiona jemadari kwa kumbikri kumbe zile damu ni za hedhi !!.Kwa ujumla bikra ni kitu kisicho na maana yeyote lakini kimebeba taswiri nzito mioyoni mwa watu. Bikra ni nini ?

Bikra ni utando mdogo uliochini ya kirinda ( hymen ) wenye umbo la mwezi mchanga . Wengine huzaliwa nao na wengine huzaliwa bila utando huo.
 
Nimefurahi kuona kumbe unaakili kidogo ya kutambua kuwa kuoa bikra kuna heshima na kuna kufanya umpe mke wako heshima.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti "nimefurahi kuona unaakili kodogo..."

Inafurahisha kidogo ila inakera saanaa kukuta kuna lijinga moja senge lisilojielewa linaanza kukukadiria akili, inaboa sana

Mbaya zaidi jitu hilo hata ulieleweshe hayaingii kichwanii... sijui ndo semaji la familia ndomana linaamini lenyewe ndo kinaraa....

Utakufa na ujinga wako nakwambia...
Na uzao wako utadhalilika sana kwasababu ya hizo bikira unazoziimba hapa

Af usijekuta hata huyo mwenye bikra huna...
 
Asilimia kubwa ya wanawake huzaliwa wakiwa hawana bikira.Na wale waliozaliwa na bikra, bikra zao hutoweka kwa njia nyingi kama mazoezi, kujichokonoa au kuchokonolewa,kufanya tendo la ndoa nk.Watu wengi wasiokuwa na elimu juu ya viungo vya uzazi wa mwanamke hudhani kuwa mwanamke bikra huwa na uke uliozibwa na utando kama buibui.Ukweli ni kwamba hakuna utando wowote unaoziba uke.Mtoto mchanga aliezaliwa leo uke wake uko wazi na ncha ya peni inaweza kupenya bila shida yeyote.Kumtoa bikra mwanamke wakati wa ngono na kusababisha damu kutoka huwa inategemeana na ukubwa wa uume atakaokutana nao.Uume mdogo kamwe hauwezi kumtoa damu mwanamke ambae ni bikra.Bikra ni moja ya jambo tata dunia nzima ambalo halina maana yeyote.Hata mahakama zote duniani hazina sheria ya kumtia hatiani mtu anaetuhumiwa kuharibu bikra ya mtu kwa sababu wanawake wengi wanazaliwa hawana bikra kabisa na wengine wengi wenye kuwa na bikra huziharibu wenyewe wakiwa wadogo kwa njia nilizoeleza hapo mwanzo.Kuna wanawake wengi ambao huwadanganya wachumba wao kuwa ni bikra ili aolewe kwa heshima huwa wanafanya ujanja wa kukwepa kufanya tendo la ndoa kwa muda na siku ya kukubali hutegea akiwa hedhi.Atakusumbua akijifanya anaogopa kuumia lakini anakuja kukuachia uingize na ghafla ana kusukuma na ukichunguza utaona damu.Wewe utajiona jemadari kwa kumbikri kumbe zile damu ni za hedhi !!.Kwa ujumla bikra ni kitu kisicho na maana yeyote lakini kimebeba taswiri nzito mioyoni mwa watu.Bikra ni nini ? Bikra ni utando mdogo uliochini ya kirinda ( hymen ) wenye umbo la mwezi mchanga . Wengine huzaliwa nao na wengine huzaliwa bila utando huo.

Suala la bikra limekaa kiimani na kimaadili Mkuu. Hakuna mwanamke ambaye hakuzaliwa na bikra kama alizaliwa akiwa na uke uliokamilika.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti "nimefurahi kuona unaakili kodogo..."

Inafurahisha kidogo ila inakera saanaa kukuta kuna lijinga moja senge lisilojielewa linaanza kukukadiria akili, inaboa sana

Mbaya zaidi jitu hilo hata ulieleweshe hayaingii kichwanii... sijui ndo semaji la familia ndomana linaamini lenyewe ndo kinaraa....

Utakufa na ujinga wako nakwambia...
Na uzao wako utadhalilika sana kwasababu ya hizo bikira unazoziimba hapa

Af usijekuta hata huyo mwenye bikra huna...

Niliruhusu Povu Mkuu. Hivyo litoe kwa kadiri ya ulivyokirimiwa. Kwa hiyo unadhani maneno yako ndio yatakuwa ukweli kisa umeambiwa ukweli. Bikra ni muhimu kwa wanaume wenye akili (kumbuka si lazima).
 
Kweli ujinga mwingine ni wakuzaliwanao.

Si ndio maana mtu anaoa asiyebikra wakati bikra wapo. Ni sawa uende harusini ukute sahani mbili. Moja chakula chake hakiguswa wala kuliwa na ya pili imefokolewa fokolewa yaani makombo alafu uchukue iliyonyofolewa then uwaambie watu unaakili.
 
hahahaaaa....! kwa huo mfano asipoelewa atajifanya kakaza tu ubongo.....dah umefikiria sana
 
Unaakili nyingi sana mkuu, bila shaka na macho ya rohoni unayo kiasi kwamba unaweza ukamcheki tu hivi mcute ukaona mpaka ndani sana ukatambua hapa bikra, hapa sio.

Me akili nyingi za hivyo sihitaji, nilizonazo zinanitosha kutawala mazingira niliyonayo (naamini umeelewa hapo, maana we c ndo mwenye akili nyingi), hizo zakugundulia bikra sina na sizitaki. Endelea kuchungulia uvunguni kwa mamazako.

JF kila mtu Einstein kasoro mimi tuu...
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Anayeheshimika...
 
hahahaaaa....! kwa huo mfano asipoelewa atajifanya kakaza tu ubongo.....dah umefikiria sana

Mwanadamu ameshindika huoni hata Mungu alighairi kwa nini alimuumba. Mtu anaambiwa usivute sigara ni hatari kwa afya yako alafu anavuta Sembuse mwanamke asiye na bikra si unataka akuone chizi. Ndio watu hao.
 
Unaakili nyingi sana mkuu, bila shaka na macho ya rohoni unayo kiasi kwamba unaweza ukamcheki tu hivi mcute ukaona mpaka ndani sana ukatambua hapa bikra, hapa sio.

Me akili nyingi za hivyo sihitaji, nilizonazo zinanitosha kutawala mazingira niliyonayo (naamini umeelewa hapo, maana we c ndo mwenye akili nyingi), hizo zakugundulia bikra sina na sizitaki. Endelea kuchungulia uvunguni kwa mamazako.

JF kila mtu Einstein kasoro mimi tuu...

Mkuu, mwanamke akiwa bikra unamjua hata kama hujaona. Kama huna uelewa na mambo hayo si unamuuliza tuu. Mambo mengine mepesi sana. Au unaogopa Bikra feki?
 
Back
Top Bottom