Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hamnaga mtu Sirius ambaye atasema habari za maombi kwenye ishu zilizowajibu wake
......kumuomba Muumba wako akutie nguvu katka misimamo uliyoamua kuwa nayo n jambo la muhimu, maana ss wanadamu n viumbe dhaifu.
 
......kumuomba Muumba wako akutie nguvu katka misimamo uliyoamua kuwa nayo n jambo la muhimu, maana ss wanadamu n viumbe dhaifu.


Huwezi omba ulichopewa Budah labda uwe hamnazo.

Ndio maana hata ulivyoandika hapa hujamuomba Mungu bali umefanya kwa uwezo wako.

Ishu ya Bikra ni ishu iko wazi kabisa, huna haja ya kuomba Mungu katika hilo labda mungu wa maboksi
 
Kupata alie bikira ni jambo jepesi??kweli?pengine ni mimi tu ndo niliambulia kukutana nao
Kuna sababu kwa nini mwanamke anapaswa kuolewa mapema (18 - 24). Kadri anavyozidi kuwa na umri mkubwa ni ngumu sana ku-pair bond na anakuwa ametumika sana ukilinganisha na anapokuwa na umri mdogo.

Your sample target inapaswa kuwa kundi la wanawake wenye umri wa miaka 18 - 20 (legal age, asilimia kubwa huwa ni wale waliomaliza kidato cha sita wanaojiandaa kuingia vyuoni) nje ya hapo probability ya kupata mwanamke ambaye hajaguswa inakuwa ndogo sana.
 
ajabu yake hata dada zako woote, shangazi zako (namwacha mamako) hawakuolewa na bikra lakini wewe unataka kuoa mwenye bikra. hiyo sio haki.
 
ajabu yake hata dada zako woote, shangazi zako (namwacha mamako) hawakuolewa na bikra lakini wewe unataka kuoa mwenye bikra. hiyo sio haki.

Hiyo ni juu Yao wao wenyewe Kwa uhuni wao.

Pengine wewe ni Mgeni hapa na hujawahi fuatilia nyuzi zangu, hata nilishatolea maelezo miaka kadhaa iliyopita.

Huwaga sirudii kujibu maswali
 
Kwahiyo Siku Hizi Hakuna Mambo Ya Bahati
Lazima Ujipanga Kutusua, Masikini Ukioa Mnapata Fukara Halafu Baadaye Sakara.



πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Shikamoo Mjukuu wa Mzilankende
 
Hiyo ni juu Yao wao wenyewe Kwa uhuni wao.

Pengine wewe ni Mgeni hapa na hujawahi fuatilia nyuzi zangu, hata nilishatolea maelezo miaka kadhaa iliyopita.

Huwaga sirudii kujibu maswali
Kamshirikishe bimkubwa wako hili jambo uone kama atakuangalia usoni au atainama chini. akikuangalia usoni lete mrejesho hapa. usijifanye hujui.
 
Mm nadhani ungetuambia namna gani ya kujua huyu ni maskini na huyu sio sababu umaskini hutofautiana baina ya mtu na mtu.

Yaani hata kaya maskini ukaziweka pamoja bado humo humo kuna kaya tajiri, hata vijiji maskini ukiviweka pamoja bado humo humo kuna vijiji tajiri, hata nchi maskini ukiviweka pamoja bado humo humo kuna nchi tajiri.

Hata matajiri ukiwaweka pamoja bado humo humo kuna matajiri maskini, hata nchi tajiri ukiziweka pamoja bado humo humo kuna nchi maskini.

Nadhani nimeeleweka vema!
 
Mtazamo huo wanao Loser, watu walioshindwa na maisha.

Mimi siwezi kuoa mwanamke asiye na sifa nisizozitaka.

Hata hivyo nimeshaoa 2013.

Mimi nioe Barmaid, you can't be serious
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…