Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Moderators tunaomba mada za huyu shoga mleta mada mpigeni ban

Ana gender violence hasa kwa wanawake

Dume zima hili shoga kutwa kuwakomalia wanawake

Hivi hamna ndugu au wazazi wa kulirekebisha au kulionya hili shoga leta mada?
Acha matusi kijana,mbona unaleta hasira bila ya sababu za msingi? Sasa unamtukana mleta mada kwani kakosea wapi?

Hizo hazira zako mpelekee aliekutoa bikra na umwambie akuoe maana sisi tumeshaamua hatuoi kwa maharishi kama huna bikra.

Pole kwa kupoteza bikra ukiwa binti mdogo, sasa kazi unayo lbda uolewe bure
 
Ha ha ha ha
 
Huyu wa Dar mahari ilikuwa ngapi?
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jambo ambalo hukuliangazia, ni lile la makahaba kuzilinda bikra zao kwa ajili ya kuwauzia waoaji, wakati huo wakitoa "tigo" kama njugu!

Siku anaolewa, taratibu na vipimo vyote vinajibu postive, vigelegele vinapigwa kwa shangwe kuuubwa.."harusi imejibu" kumbe ni hadaa tu za kahaba kwa ajili ya kuolewa, lakini kila kitu ashafanya na anakijua!

Kipimo cha mwanamke "wa utulie" ni zaidi ya bikra tukubaliane hivyo.
 
Mimi ni miongoni mwa watu nilikua napinga kuwa bikra hazipo sku hizi..**** makala yako nilikwambia bikra hazipo ila nimegundua bikra zipo nyingi tu.

nimepata mwanamke bikra ninataka kuoa kabisa kwasasa
Naunga mkono kuwa ZIPO
 
Kiuhalisia yule mwanaume wa kwanza ndie mume halisi na uliyempenda wa kwanza. Asilimia kubwa tunaoa wake za watu. Kumbe tunatolea mahari wake za watu!!
Ndio maana hamna mantikinya kuingia kaenye ndoa. Tubebane tuu kama malaya maana sifa za kuwa wana ndoa hatuna ila tuna sifa za kuwa malaya
 
Mimi ni miongoni mwa watu nilikua napinga kuwa bikra hazipo sku hizi..**** makala yako nilikwambia bikra hazipo ila nimegundua bikra zipo nyingi tu.

nimepata mwanamke bikra ninataka kuoa kabisa kwasasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zipo mkuu nyingi TU, oa fasta, ACHA uzembe
 
Ni matumizi mabaya ya pesa na akili kwa mwanaume kumuoa kwa harusi mwanamke asiye bikra.

Anaetakiwa kuvaa shera nyeupe,ni mwanamke aliye msafi,bikra

Mwanamke asiye bikra,anatakiwa aolewe bila harusi na ikiwezekana bila mahari.

Dada zetu ni lazima watambue kuwa 'heshima' ni gharama.

huu ndio ukweli hata kama hautimiziki kirahisi au haufurahishi.."

Sema kwa kuwa harusi za siku hizi nyingi ni maigizo,sio mbaya tuendelee kumsikiliza chege ft diamond..waache waoane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…