Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hivi hapa mjini kuna wanawake wana bikira.

Above 18 years.
 
Naomba nihitimishe harusi na kuvaa shela jeupe ni kwa mwanamke bikra hao wengine wavae kaniki naomba kuwasilisha
 
Usitafutee sehemu ya kujificha.... Kuolewa bila bikra ni rahana ambayo hatujui namna inavyotutafunaa
 
Bikra nyingi zina usumbufu sana. Nashauri kuzisahau tu maana siku hizi hakuna kabisa.

Hata ardhi bikra ziliisha watu wanaparamia mwezini huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wasio nazo wamekujaa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…