Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra



Mkuu shukrani kwa kueleza kwa upana na kuwapa maziwa baadhi ya watu. Mimi niliwapa makande ilhali ni watoto wachanga
 
Siku hizi mchawi pesa wala sio BK tena kama enzi za mababa na mababu zetu

Ninauhakika hapa akija mwanamke mwenye pesa mwenye kama 35 hata awe na watto akisema anatafuta kijana wakumuoa utaona siku haiishi atapata watu wakutosha


Upo sahihi sana. Nani sasa ajitokeze mwenye hizo hela ikiwa wanawake wameumbwa kuhudumiwa?
 
Si ndio maana mtu anaoa asiyebikra wakati bikra wapo. Ni sawa uende harusini ukute sahani mbili. Moja chakula chake hakiguswa wala kuliwa na ya pili imefokolewa fokolewa yaani makombo alafu uchukue iliyonyofolewa then uwaambie watu unaakili.
Inategemeana na chakula yaani ugali mlenda ulinganishe na pilau na umetoka kula ugali mlenda na nyumbani utaikuta jion alafu bado kwenye sherehe nile tena si bora niache vyote kama sitaki kula chakula kilichoguswa na mtu?
 
Unaweza pata bikra but tabia zote in general unazotaka wewe yeye hana but asiye bikra mnaelewana sana ndani so ndoa ni zaidi ya bikraa


Upo sahihi kwa kiasi kidogo. Unadhani moja ya sababu kubwa zinazopelekea ndoa nyingi kuvunjika ni zipi? Unajua chanzo cha uwepo wa vibamia Mkuu? Embu funguka
 


Lakini Mada inahusu Bikra Mkuu au hujasoma vizuri. Alafu kitu kingine athari za ngono zipo 100% kwa mwanamke. Bikra mwanamke. mimba mwanamke, kuzaa mwanamke. Hujiulizi tuu Mkuu
 
Inategemeana na chakula yaani ugali mlenda ulinganishe na pilau na umetoka kula ugali mlenda na nyumbani utaikuta jion alafu bado kwenye sherehe nile tena si bora niache vyote kama sitaki kula chakula kilichoguswa na mtu?


Hahahah!! Kwa nini usile makombo ya mtu mwingine tena usiyemjua?
 
kwani ubikira si nikigezo tu kama vigezo vingine mtu anapoamua kutafuta wife material sasa shida i wapi?.....alafu unaposema nimetukana ni wapi?.....nakukumbusha zamani ilikuwa ni aibu mtoto wa kike kuolewa na asikutwe na bikira.....acha tu bikira ina thamani yake bhana....sema wengi tunakataa sababu hatujaoa hao watu wengi tumekuta wenza wetu tayari washafanywa...hata mlevi wa pombe huitetea pombe wangali madhara yake hufahamu kabisa
 
Hahahaha ngoja nisubir shugamami hapa


Humu karibu wote njaa kali huoni kuna mdau alipiga mayowe baada ya kukutana na binti mmoja mwenye Avatar yenye kusisimua lakini kukutana ilikuwa songombingo kivumbi na jasho.
 
Ikiwa Mungu aliona si Vyema mtu awe peke yake. Huyo ni Mungu aligundua kuna tatizo. Sasa wewe mtu unashindwaje kuliona tatizo? Mbona mambo mengine madogo tuu


Kama unakwenda huko hata ni complicated zaidi, kwani Yesu hakuoa wala kuzaa na alikuwa mwana wa Mungu na Mungu alimtuma kwa wa mfano wa kibinadamu ili tumuamini, sasa kwa nini hakuoa wala kuzaa?
 
Kumbe ulishafanya makosa kuharibu mtoto wa watu ndio maana Mungu naye kakupa garasha ijapokuwa amekusamehe. Siwezi lala na mwanamke bikra ilhali najua sitamuoa. Bora nibaki na hawa magumegume kwanza
Bado ni mzinzi so kupata bikira pia ni neema tu mkuu ila kwako ww utaweza maana we sifa pekee ya kuwa mke mwema ni moja tu ila tunaohitaji sifa zingine ni taabu kupata hiyo bikira maani anaweza kuwa nayo afu zingine hana bd kwangu hana nafasi
 
Pole sana... Siku zote Mungu hukupa kile unachostahili..kama ww unarukaruka usitegrmee atakuletea mtu aliyetulia...kwa hiyo kama we hapo ulipo ulishatembea na wanawake ambao hawana idadi na bado hujawaoa wengine umewatoa bikra na haujawaoa..jiulize wataolewa na nan?maana nimeona umewaita wanaooa wanawake ambao sio bikra wajinga...na ww utaoa asiye bikra na utaungana na wajinga wenzako kama ulivowaita

Nataka nikwambie kitu kimoja tu kama hujawahi lala na mwanamke bas Mungu atakupa mke bikra ila kama umezoea kulala na Wanawake wengi God will give you what you deserve. Uwaachie wenzako waliotulia wawapate hao mabikra
Na unavoishi leo ina-determine maisha ya kizazi chako cha kesho kama umechezea mabint na mabint zako watachezewa hivo hivo
 
Mkuu shukrani kwa kueleza kwa upana na kuwapa maziwa baadhi ya watu. Mimi niliwapa makande ilhali ni watoto wachanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na maziwa yakiwashinda itabidi tuwaungie mirija tumboni, maana kulielewa hili ni jambo la msingi sana...
 
Hhaahahahahahahahah hii n kusubiri meli airport... Watapata tabu sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na maziwa yakiwashinda itabidi tuwaungie mirija tumboni, maana kulielewa hili ni jambo la msingi sana...


Watu walishashindikana hata kwa muumbaji wao. Leo wewe uje na misemo na nahau watakulewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…