Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #501
Mkuu mada yako iko sahihi kabisa, sema kinachosumbua watu humu ni uelewa wa kina katika kile ulichokusudia kukieleza.. binafsi nimekuelewa sana..
Bikra inatupa ishara nyingi katika njanja tofauti tofauti..
1~ Katika dini bikra ni ishara ya hofu ya Mungu, kwa maana kwamba kwa imani za kidini ni dhambi kufanya ngono kabla ya ndoa, so tunategemea mtu mwenye hofu ya Mungu kuwa bikra..
2~Kimaadili bikra ni ishara ya kijiheshim, kwa maana kwamba jamii inaamini mtu anayejiheshim hawezi fanya ngono na mtu baki asiye muheshim.
3~Kiafya bikra ni ishara ya kujipenda na ni ishara ya usafi, ngono inamaana pale tu itakapofanyika ndani ya ndoa lakini nje ya ndoa ngono ni uchafu wa fikra na mwili pia..
4~Kisaikologia bikra ni ishara ya uaminifu na kujitambua,, aliyetoa bikra kabla ya ndoa anatafsiliwa kama hana huaminifu na hajitambui thamani yake.
Hizi sifa anazopewa mtu mwenye bikra ndizo hutumika kama sifa za mke bora. Ukipata mke mzuri kimaumbile na ni bikra huyo lazima awe wife material, nafikiri hichi ndicho anachokimaanisha mtoa mada... Kama huna bikra na umeolewa basi ni neema tu na ni mapenzi ya Mungu...maana Mungu anawapenda wote mabikra na wasio mabikra ila anachukizwa na uzinzi...
Mkuu shukrani kwa kueleza kwa upana na kuwapa maziwa baadhi ya watu. Mimi niliwapa makande ilhali ni watoto wachanga