Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mi naamini hakuna mwanaume timamu atakuja jadiri habari za bikra mitandaoni ikiwa hizo bikra zinatolewa na hao hao me.
 
Safi, lakini maisha siyo bikra pekee, unaweza mpata mtu hana bikra ila ni wife material sana, usijilimit kuoa eti hadi bikra aah, nyie wenyewe siyo nanii pia..
Wife material ni yule alieweza kuitunza bikra yake hadi wakati wa kumkabidhi mumewe wa ndoa, kinyume chake huyo ni 'community wife' na sio wife material..
 
Wanawake wanavutiwa na wanaume wenye uzoefu (body count kubwa). Wanaume tunavutiwa na wanawake wasiokuwa na uzoefu (body count ndogo).

Kadiri mwanamke unavyotumika, unashuka thamani. Kadiri mwanaume unavyotumika, unaongezeka thamani. Hiyo ndio tofauti yetu kwenye kutumika.

Wanawake wana muda mdogo sana wa kuwa kwenye peak. Mwanamke anakuwa kwenye peak akiwa na miaka 18-25. Wengi wanakuwa hawajatumika au wametumika kidogo.

Mwanaume anakuwa kwenye peak akifikia miaka 30 - 50.

Women age like milk.
Men age like a fine wine.
 
Bikra !!!!!!!! Kachonge/kaumbe wa kwako au kaoe robot.
 
Haina shida , wewe mwanaume endelea kutumika tu, na ukimwi utakupandisha pia thamani.
 
Huu ujinga kama ujinga mwengine, kuna wengine tumetembea na mademu zaidi ya mmoja wengine tulipata bahati ya kuwabikiri wengine hata hatujui body count yake ngapi


Lakini mwisho wa siku, tabia njema, kujiheshimu na kuniheshimu, na madiko diko mengine ambayo ni extra yananifanya nipige kambi kwa ambae hata sikumbikiri ujue kwanini?

Sababu mapenzi ni zaidi ya Sex, kuna vingi nje ya hapo na ndio maana pamoja Sex kuwa na umuhimu lakini kukosekana kwa vigezo tajwa hapo juu kumesababisha wengi kuhitilafiana
 
Ni mipango tu ukiona mwanamke anakupenda oa mimi kama mwanamke ananipenda naoa chapu simuachi hata,sasa kama watu wataoa bikra tu wanawake ambao wameachwa waolewe na nani au wao sio binadamu! Mimi mwanamke yeyote akinipenda naoa kama atakuwa na tabia nzuri tu
 
Kama alishapoteza bikira huyo hakupendi ndio maana prize aliyokuwa nayo alimpa mwanaume mwingine.

Na kwa kuwa amepoteza bikira huyo tayari hana tabia nzuri. Unajua idadi ya wanaume aliotoka nao tangu abikiriwe?
 
Huenda upo sahihi. Uzuri hua sijidanganyi kukaa na dem ambae siyo bikra. Na hua simtoi ni ulinzi bora sana.

. Nakaa kw aman kabisa siwi na hofu ya kusalitiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…