Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao wamo humu ndo visirani tu kwenye nyuzi kama hizi tuSambamba na wale walioolewa bila bikra, wanaona kama kitumbua chao kinatiwa mchanga
Mi naamini hakuna mwanaume timamu atakuja jadiri habari za bikra mitandaoni ikiwa hizo bikra zinatolewa na hao hao me.Ofcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.
My point hapa ni double standards.
Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.
Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.
Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.
Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.
Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
Wife material ni yule alieweza kuitunza bikra yake hadi wakati wa kumkabidhi mumewe wa ndoa, kinyume chake huyo ni 'community wife' na sio wife material..Safi, lakini maisha siyo bikra pekee, unaweza mpata mtu hana bikra ila ni wife material sana, usijilimit kuoa eti hadi bikra aah, nyie wenyewe siyo nanii pia..
Bikra !!!!!!!! Kachonge/kaumbe wa kwako au kaoe robot.Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.
Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.
Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.
Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi? Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri. Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?
Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?
Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?
Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well
Learn or perish
Haina shida , wewe mwanaume endelea kutumika tu, na ukimwi utakupandisha pia thamani.Wanawake wanavutiwa na wanaume wenye uzoefu (body count kubwa). Wanaume tunavutiwa na wanawake wasiokuwa na uzoefu (body count ndogo).
Kadiri mwanamke unavyotumika, unashuka thamani. Kadiri mwanaume unavyotumika, unaongezeka thamani. Hiyo ndio tofauti yetu kwenye kutumika.
Wanawake wana muda mdogo sana wa kuwa kwenye peak. Mwanamke anakuwa kwenye peak akiwa na miaka 18-25. Wengi wanakuwa hawajatumika au wametumika kidogo.
Mwanaume anakuwa kwenye peak akifikia miaka 30 - 50.
Women age like milk.
Men age like a fine wine.
UKIMWI upo kwa hao wanawake wasiokuwa bikra mnaowafakamia.Haina shida , wewe mwanaume endelea kutumika tu, na ukimwi utakupandisha pia thamani.
📌🔨🔨🔨🔨Kuwala au kutokuwala hio sio shida yetu. Shida yetu ni kwa nini uoe mwanamke ambae sio bikra?. Mwanaume Mwenye kujielewa lazima aoe mwanamke bikra.
Unawaharibu wasichana, tuseme 10. Halafu unawaacha unachagua bikra mwingine wa 11, unaona. Hao uliowaharibu wakaolewe na nani. Mbona wewe sio bikra ?UKIMWI upo kwa hao wanawake wasiokuwa bikra mnaowafakamia.
Huu ujinga kama ujinga mwengine, kuna wengine tumetembea na mademu zaidi ya mmoja wengine tulipata bahati ya kuwabikiri wengine hata hatujui body count yake ngapiMuulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.
Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.
Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.
Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi? Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri. Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?
Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?
Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?
Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well
Learn or perish
Mimi ni mwanaume. Hao 10 wataolewa na wanaume losers.Unawaharibu wasichana, tuseme 10. Halafu unawaacha unachagua bikra mwingine wa 11, unaona. Hao uliowaharibu wakaolewe na nani. Mbona wewe sio bikra ?
Umesema vyemaWell well Endeleeni kupaza sauti huwenda ikarudisha hofu kwa kizazi jeuri kijacho kujitunza na kurudisha maadili
Ni mipango tu ukiona mwanamke anakupenda oa mimi kama mwanamke ananipenda naoa chapu simuachi hata,sasa kama watu wataoa bikra tu wanawake ambao wameachwa waolewe na nani au wao sio binadamu! Mimi mwanamke yeyote akinipenda naoa kama atakuwa na tabia nzuri tu