Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Mkuu unisamehe kama nimeingilia personal stuff, kwahiyo ulimkuta mama chanja hana bikra ukaamua kuoa hivo hivo, nini kilikufanya usiendelee kuonja onja ili ukutane na bikra? Ulikuwa unaharaka ipi?

Hivyo mnaingia kwenye ndoa kujishikiza tu, ni kwanini watu hushangaa ndoa kutodumu ikiwa wenye kuoana huingia kujishikiza tu? Nachelea kusema mnaishi katika jehanamu na fukuto kuu kama mliingia kujishikiza tu, na kwanini mchague jehanamu ikiwa ungeweza kutafuta zako bikra na ukaipata ukaishi peponi, huoni mkuu ulifanya maamuzi yasiyo sahihi kwa makusudi kabisa?
 
Yuko wapi hiyo bikra mi nimuoe
 
Hakuna mwanaume asiyependa bikra,ila watu wanazuga tu kutokana na uhalisia Wa maisha ya sasa
Kupata Bikra mzuri na vigezo vya kuridhishaa...Yani mzurii na msambwandaa HAIWEZEKANIIII....HAIWEZEKANII
 
Naona umekiri kwamba bikra ni added advantage,
 
Kuna ukimwi mkuu utaonjaa mpaka lini?? Labda uoe mtoto wa miaka 20 hivi kwa bahati piaa hapo sawaa....
 
Kipi bora mwanamke mwenye bikra lakini hamendani kitabia na mwanamke asiye na bikira ila kitabia mnaendana sana yaani kuna chemistry kubwa kati yenu
Hamuendani kitabia kwakuwa anakulinganisha na kina Mandingo waliopita anakuona mzembe lakini ingekuwa wewe ndio umechonga tunnel ukazamisha SGR basi kila siku anafuata maamuzi yako
 
Sasa si uanzishe mada inayosema hivyo Mkuu. Mada hii huelewi inazungumzia nini? Binadamu ni noma hahahaaa
Ww ndo hujanielewa mkuu hiyo ni point iliyo ndani ya maada iliyopo, na nikudhani asiyeoa bikira ni mjinga means aliyeoa bikira mwanamke hata kama hajitambui basi ni mjanja kisa katunza bikira kumbe wenzio wenye akili washindwa kukaa na asiyejitambua
 
Kama kuna mwanaume ameoa mwanamke asiye na bikra basi hii mada itakuwa inawatesa sana hasa pale anapo mtazama mkewe na kumbuka vijana wanvyo shikilia bango za bikra na utamu wake.

Nafikiri kinachotesa wengi ni hiki, iweje mtu aliamua kumuoa mke wake mwenyewe bila kushurutishwa ila leo hii anajilaumu, Hii ni dalili ya kutokujiamini na kutokuamini maamuzi binafsi kiasi unaeza yumbishwa na upepo popote uendako.

Sio jambo lakushangaza kwa wanaume wa sasa maana twawaona wengi tu wakilala wakiamka wanaunga juhudi teh!
 
Kama kuna mwanaume ameoa mwanamke asiye na bikra basi hii mada itakuwa inawatesa sana hasa pale anapo mtazama mkewe na kumbuka vijana wanvyo shikilia bango za bikra na utamu wake.
Bikra kuoa ni matesoo maana hata show zenyewe hajuii zinaenda vipi na wewe ukute ushazoea Show za mauno ya ukweli na Kukunjanaa hasaa... Aisee utaishi kuchepukaa tuu na hapo ndo litakuwa tatzo maana na mkeo nae ataazna kuonja nje kulipa kisasi... Sioni maana ya kuoa mwanamke ambae kitandani hakupi show nzuri ambayo inakuridhishaaa.

Ndo maana kuna wadada ushawahi sex nao yani hukutamani hata kurudiana nae maana uvivu na kujidai hapendi show kalii... Mdada mwenye show mbovu hata kuachana nae sijiulizi na siumiii kabisaa...tena ukute show mbovu na anapenda helaaaa..
 
Ila kiziwi anapambana humu [emoji23]🀣

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wengi wanapuuza tu wakikuta mijadala kama hii wanapita kimya kimya hawataki kukereka au pengine wanaona hakuna umuhimu wowote kuargue na mtu mzima alochagua msimamo wake binafsi ikiwa wao hauwaathiri na hujawahi kuwaathiri kwasababu kila siku mitaani wanaolewa kwani bikra wale?

Mi nimeamua tu kuchangamsha kijiwe. Tusiwe na upande mmoja wa fikra kama samaki.
 
Hakuna raha kama kumkuta demu bikra afu namfundisha mapenzi Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…