binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
jokajeusi hii mada imetugusa kwa waoaji na waolewa yani wengi hapa tunakataa kwa sababu 98% ya wanandoa wameoana bila bikira ndio mana kuna ubishi sana ujue mtu kuolewa ukiwa na bikira kuna utofauti wa kuheshimika na kuthaminika na yule asiyeolewa na bikira hata kama ukajiona unaheshimika na kuthaminika.........dah wengi tumeoa walioanzishiwa na watu wengine....ila hivi hao wanawake hawajiulizi kwanini mwanaume kabla hajaoa anakuwa mtu wa kuonja onja sana hivi huwa hutafuta nini si kingine ni bikira hata wakabisha hapa ukweli ndio huo....hivi hawajawahi ona mtu anahairisha kuoa baada ya kukuta kitu used tayari....dhahabu haikosi soko ni sawa na mwanamke bikira never miss a man to marry....ukiona mwanaume kakuoa bila bikira ujue alozunguka kakosa kasema basi ngoja nijoshikize tu hapa.....! not everything that is followed by many people is right some of them are wrong
Mkuu unisamehe kama nimeingilia personal stuff, kwahiyo ulimkuta mama chanja hana bikra ukaamua kuoa hivo hivo, nini kilikufanya usiendelee kuonja onja ili ukutane na bikra? Ulikuwa unaharaka ipi?
Hivyo mnaingia kwenye ndoa kujishikiza tu, ni kwanini watu hushangaa ndoa kutodumu ikiwa wenye kuoana huingia kujishikiza tu? Nachelea kusema mnaishi katika jehanamu na fukuto kuu kama mliingia kujishikiza tu, na kwanini mchague jehanamu ikiwa ungeweza kutafuta zako bikra na ukaipata ukaishi peponi, huoni mkuu ulifanya maamuzi yasiyo sahihi kwa makusudi kabisa?