Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hivi kwa nini Mungu aliweka hymen kwenye uchi wa mwanamke? What was the reason behind hymen in women's vajay?
Bikra inamtambulisha mwanamke aliejitunza bila ya hiyo tungekua tunadanganywa sana
 
Bikraless naona povu linakutoka
Huwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.

Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au umetoka kwenye mihangaiko unataka uchangamshe kijiwe

Toka hapa usitupumzikie
 
Mwanangu mimi Nina singo. Maza Wangu naona humu watu wanaita second hand
 
Pole kwa kuoa USED
Hujui uliongealo, usijekuta bikra yenyewe umekutana nayo ya kichina unakuja kupiga kelele hapa. Heshima ya mwanaume iko kwenye kuhakikisha familia yake iko salama, na inastawi sio kuoa mwanamke bikra
 
Hujui uliongealo, usijekuta bikra yenyewe umekutana nayo ya kichina unakuja kupiga kelele hapa. Heshima ya mwanaume iko kwenye kuhakikisha familia yake iko salama, na inastawi sio kuoa mwanamke bikra
Mzee mwenzangu 🤣mimi nina msingi maza Wangu japo kua she is young than me she is 21 me nipo under 36 mkuu kuna ubaya hapo
 
Mzee mwenzangu 🤣mimi nina msingi maza Wangu japo kua she is young than me she is 21 me nipo under 36 mkuu kuna ubaya hapo
Kah mkuu umeamua kujifunga bomu kabisa? Singo maza wa miaka 21 mbona aliukimbilia usingo Maza mapema sana
 
Kah mkuu umeamua kujifunga bomu kabisa? Singo maza wa miaka 21 mbona aliukimbilia usingo Maza mapema sana
Sasa ujue inakua hivi mimi binafsi spend kudate mtu mwenye 25 plus and above sababu ya mileage zao na matendo

Ila Tukija kwa dogo dogo below 25 wanafantasy sana wanawaza mwanaume fulani wa kufirika, they need to be played first, sasa mzee mm katika pita pita nikaona hii mama, mawazo yapo kwa mtoto Ina maana ana jitambua basi nikarequest
 
Umri wako ukiongezeka urudi kuwaomba baba zako samahani hapa JF.Still a kid!
 
Zanzibar watu wanaoa sana bikra ila naona ndio sehemu inayoongoza Kwa taraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…