Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia tena BIKRA kamwe isifananishwe na mitumba!!! Kama inauma chomoaUwe unatembelea na mitandao kama Quora upate mawazo ya duniani.
Ninyi ni miongoni mwa watu mnaotaka kushusha hadhi ya JF.
Wachache watakuelewaKusema kweli kuona bikra Kuna Raha yake tofauti na kuoa bwawa.
Bikra inamtambulisha mwanamke aliejitunza bila ya hiyo tungekua tunadanganywa sanaHivi kwa nini Mungu aliweka hymen kwenye uchi wa mwanamke? What was the reason behind hymen in women's vajay?
HakikaBado kuna mengi huyajui
Pole kwa kuoa USEDIla umeelewa nilichokuambia ee, usijefikiri bikra umepata peke yako.
Asante kwa kushirikiHakika
Huwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.
Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au umetoka kwenye mihangaiko unataka uchangamshe kijiwe
Toka hapa usitupumzikie
Bikraless Katika utetezindoa ni zaidi ya mwanamke bikra
Na hawazipendi mada kama hiziBikraless naona povu linakutoka
Woyoooo bloo umetishaBikraless Katika utetezi
Mwanangu mimi Nina singo. Maza Wangu naona humu watu wanaita second handBikra haina maajabu yeyote. Alafu ni ngumu ku confirm.
Mtu ambaye ameshikilia mambo ya bikira ni mtu dhaifu tu. Ni mtu mwenye mawazo finyu.
Ni bora hata kuongelea mambo ya kuwa na uhuru kiuchumi kuliko kuongelea mambo ya bikira.
Kwa Sasa Kijana ambaye ni fukara ikitokea akaoa bikira atachapiwa tu. Na hapo ndiyo utakosa maana ya kukazia mambo ya bikira.
Vijana wa kiislamu ndiyo hupenda sana kupiga stori za mabikira.
Acha upimbi wewe unafikiri kuoa bikra ndo unakua umefanikiwa kimaisha mimi mnyw sikusapotiWoyoooo bloo umetisha
Hujui uliongealo, usijekuta bikra yenyewe umekutana nayo ya kichina unakuja kupiga kelele hapa. Heshima ya mwanaume iko kwenye kuhakikisha familia yake iko salama, na inastawi sio kuoa mwanamke bikraPole kwa kuoa USED
Mzee mwenzangu 🤣mimi nina msingi maza Wangu japo kua she is young than me she is 21 me nipo under 36 mkuu kuna ubaya hapoHujui uliongealo, usijekuta bikra yenyewe umekutana nayo ya kichina unakuja kupiga kelele hapa. Heshima ya mwanaume iko kwenye kuhakikisha familia yake iko salama, na inastawi sio kuoa mwanamke bikra
Kah mkuu umeamua kujifunga bomu kabisa? Singo maza wa miaka 21 mbona aliukimbilia usingo Maza mapema sanaMzee mwenzangu 🤣mimi nina msingi maza Wangu japo kua she is young than me she is 21 me nipo under 36 mkuu kuna ubaya hapo
Sasa ujue inakua hivi mimi binafsi spend kudate mtu mwenye 25 plus and above sababu ya mileage zao na matendoKah mkuu umeamua kujifunga bomu kabisa? Singo maza wa miaka 21 mbona aliukimbilia usingo Maza mapema sana
Umri wako ukiongezeka urudi kuwaomba baba zako samahani hapa JF.Still a kid!Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Una miaka mingapi mkuuMwanangu mimi Nina singo. Maza Wangu naona humu watu wanaita second hand