Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kama hii wanapita afu zingine tena za kipuuz wanachangia itakua imewagusa tu
 
Hakuna raha kama kumkuta demu bikra afu namfundisha mapenzi Mimi
Hiyo ndo rahaa lakini Vipi kama yeye mvivu na hataki hayo mambo??? Kuoa sio shida piaa.. shida kumpataa...Niliwahi pata demu mkali Sana bikra lakini cha kushangaza akawa anataka kunipaa 0714 ili mradi bikra yake ibakii...
 
Kwa kukubali huu ukweli Mkuu umetisha,

Salute
Ofcoz maana Kama ashawahi pita jamaa na akampa show kalii kukuzidi atarudi tu kwa mwana siku mojaa wakumbushiee...! Ilaa kama unampa show best hawezi rudi kulee kwa zamani
 
Hiyo ndo rahaa lakini Vipi kama yeye mvivu na hataki hayo mambo??? Kuoa sio shida piaa.. shida kumpataa...Niliwahi pata demu mkali Sana bikra lakini cha kushangaza akawa anataka kunipaa 0714 ili mradi bikra yake ibakii...
Unaweza pata demu hana bikra zote na mvivu pia bila kusahau anatoa ndogo pia,hapo vipi
 
Mkuu kuna ndoa nyingi tu ambazo zimetulia na hawakuoa mabikira na kunafuraha za ajabu
 
Wanawake wasio na bikra na walioolewa bila bikra inawakera hii. Wanakuona mtoa mada kama ana akili za kipumbavu eti.[emoji16][emoji16][emoji16]

Ukweli ni kwamba

Bikra ina heshima hata Mungu aliithamini akamtunza yesu

Mwanamke bikra huwa hajui habari ya vibamia

Mwanamke asiye bikra hachelewi kukulinganisha na watangulizi wako

Mwanamke bikra ni ishara kuwa alijitunza sana na wengi huwa na heshima sana Fanya tafiti unayepinga hili .

Wengi walioolewa pasipo bikra ndio wanaoongoza kwa kumshambulia mtoa mada

Ivi nyie wanawake huwa hamjiulizi kwa nini mwanaume tunaongoza kwa kuulizia hizo bikra zenu ..

Eti unauliza kama mwanaume ana bikra wapi uliona mwanaume ana hymen

Poleni sana ndo maisha Dada zangu
 
Unaweza pata demu hana bikra zote na mvivu pia bila kusahau anatoa ndogo pia,hapo vipi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo mpaka anatoa ndogo aisee lazima atakuwa fundi...Ila Kama ya mbele ipoo lazima atakuwa gogoo tu
 
Ofcoz maana Kama ashawahi pita jamaa na akampa show kalii kukuzidi atarudi tu kwa mwana siku mojaa wakumbushiee...! Ilaa kama unampa show best hawezi rudi kulee kwa zamani
Uzur mwanamke bikra ukimpa show za kawaida tu anakuona we Mkali kinoma

Na hana ule msamiat Wa kibamia kwa kifupi hana Wa kuku compare
 
Hata huyo uliyemkuta sio bikra alifundishwa...SASA UTASHINDWAJE KUMFUNDISHA BIKRA WAKO KUKUPA SHOW ZA KIBABE...?
 
Hata huyo uliyemkuta sio bikra alifundishwa...SASA UTASHINDWAJE KUMFUNDISHA BIKRA WAKO KUKUPA SHOW ZA KIBABE...?
Sasa mzee ushazoea wanaotoa show za kibabe kuaza kufundishana na MTU mwenywe ukute hafundishikii oohoo
 
Uzur mwanamke bikra ukimpa show za kawaida tu anakuona we Mkali kinoma

Na hana ule msamiat Wa kibamia kwa kifupi hana Wa kuku compare
Weee alokwambia Hana wa kukucompare nae nanii??? Labda kama haangalii porn na Hana marafiki wa kumspoil... Aalafu Kibamia hakifichichiii mkuu kisaa umeoa bikra eti ndo mkeo hawezi juaa kidude ni kidogo.. no way
 
utake bikra wakati huo na wewe bikra au umechakachuliwa tayari.
Maskini umejibu kinyonge kweli

Labda nkukumbushe hakuna mwanaume bikra,jilaumu kwa kuigawa hii zawad adhimu kwa mumeo kabla ya ndoa
 
No hard feelings mkuu. Lakini hujafanikiwa kunionesha ubaya niliouliza.. Wengi mnadai huo ndio ukweli lakini hamuelezi ni kivipi huo ni ukweli? Ni hisia au facts? Kama ni hisia kila mtu ana za kwake kama ni fact tutafute mlengo mpya wa discussion maana ni hisia tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…