Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hakuna haki bila wajibu! Timiza kwanza wajibu wako ndo udai haki yako. Jinsia nyingi za kike zimejiharibu zenyewe kwa kujihusisha na ngono mwisho wa siku hule ungavu/nuru ya kuvutia wanaume wamuoe imepotea wameushia kuja majukwaani na kulaani wanaume! Sasa wewe una kete gani ya kukuuza?. Kwanza "K" mdebwedo imetembea kilometa nyingi hadi kuzalishwa nani wa kuinunua?
Mwanaume hela huna!!!! utawezaje kumuhudumia mwanamke?. Ukizingatia ushauri wangu, nyuzi nyingi za mahusihano zitazingatia hili na kutupunguzia wasomaji/watazamaji kero
Mkuu ebu tuambie wewe ulipatana na mwenye bikra na pesa uliki nayo? Vp kuhusu yule uliyemuondolea bikra leo akiona unamsema apa
 
Kijana wewe upo bize kuchakaza mbususu za watu unategemea utakae muoa yake itakuwa mpya kabisa? Muosha uoshwa
 
Kwa bahati mbaya mkeka unasoma bilabila
Wanaume hawana Hela,kutwa malalamiko wameombwa elfu mbili
Wanawake hawana usichana
Tunafanyaje mkuu?
Hapa patamu...aisee umeongea point wewe ebu valentines njoo nikupeleke zenji
 
Back
Top Bottom