Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kutunza bikra iwe kwa manufaa yake mwenyewe,sababu hakuna tuzo ya kuzunguka na wanaume wengi au kubadilisha wanaume,mwisho huwa ni majuto,attachments,kuvunjika ndoa,kuachwa nk.Ajitunze sio sababu tu ya mwanaume ila pia kwa faida yake wenyewe
 
Apa sijaja kutetea umalaya wa wanawake wa kizazi hiki hapana kabisa

Nimekuja kuwaambia vijana kizazi iki mnaoseama tusioe wasio bikra ni sawa ila muhakikishe mmewauliza baba zenu kwa usiri na wivu mkubwa sana kuwa waliwaoa mama zenu wakiwa bikra?

Pia kama tuna madada nyumbani tuhakikishe kuwaambia Wanaokuja kuwa chumbia kuwa kama hawakuwakuta bikra dada zetu pia wasiwaoe kabisa!.

Mpenda haki msema ukweli naomba kutoa hoja
 
Kwa ninavyojua mahari ni sheria ya zamani ambapo mwanamke alikua bado ni mwanamwali hadi kuolewa, Sasa inakuaje Kwa ulimwengu huu wa Sasa mwanaume utoe mahari Kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Kifupi mwanamke bikra pekee ndio anafaa kutolewa mahari
 
Sawa ila usiwapangie watu na maamuzi Yao na sio kwamba hawajaona hao bikra wameona ila Kila mtu na machaguo yake na nafsi yake
 
Ngoja mashabiki wa yule alitoa 30M na ng'ombe lori 2 wakusikie
 
Watu wa Mungu .....
Sifa zake
Awe na umri 35 -45
Awe hajatumika .
Awe anachapa kazi
Awe tayari kuoa nakuhudumia kama upo serious njoo inbox
Chapu fulsa hii ni yenu.
Awe mlokole tafadhali dhehebu hizi za lutherani,anglicana ,RC
 
Back
Top Bottom