SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nahitaji awe mume wangu mie wengine hawana nguvuWe nyau Nini,
Mwanaume bikra unataka kumtoa kafata au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji awe mume wangu mie wengine hawana nguvuWe nyau Nini,
Mwanaume bikra unataka kumtoa kafata au
Nitajua tuNgoja tuvute mda wa daku, sasa utajuaje kama hajatumika.
Umepata huyu mpaka sasa tokea kuzaliwa kajua maraisi wote.Watu wa Mungu .....
Sifa zake
Awe na umri 35 -45
Awe hajatumika .
Awe anachapa kazi
Awe tayari kuoa nakuhudumia kama upo serious njoo inbox
Chapu fulsa hii ni yenu.
Kwani nyie mnaooa wenye bikra mnayogiWewe mwenyewe unayo hiyo bikra?? Nyashi je¿ kama huna usipoteze muda ........tems and conditions applied
Ngoja tuvute mda wa daku, sasa utajuaje kama hajatumika.
Hata kama ni soko huru lakini sio kwa hiyo bidhaa unayotakaNahitaji awe mume wangu mie wengine hawana nguvu
Yote ayo ili ujue anamtambuaje bikraUnapimaje ubikra wa mwanaume?
Utathibitisha vipi mwanaume hajawahi kufanya ngono?
Uta tofautisha vipi na uta tambuaje mkuyenge bikra na usio bikra?