Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Humu tu
 

Attachments

  • IMG_20250203_145348_391.JPG
    IMG_20250203_145348_391.JPG
    89 KB · Views: 3
Huu ni mtazamo wa jamii yetu ya kiafrika kutaka wanaume kuoa wanawake bikira au mwanamke kuolewa akiwa bikiria. Ila swala hili si kwa wanaume.

Ni sahihi mwanamke kutunza bikira yake kwa mwanaume ambae ameshakutana na wanawake kimbao. Au kuna mfumo dume unatumika kuhalalisha hili.

Lengo ni kujifunza
 
Back
Top Bottom