Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Mwanamke akitaka aolewe na mwanaume mwenye hela shati lazima awe bikra! Mbali na hapo atakua wakutumika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na Hela linaanzia kwenye sh ngapi?Mwanamke akitaka aolewe na mwanaume mwenye hela shati lazima awe bikra! Mbali na hapo atakua wakutumika tu
Tafuta hela sanaa kama maswali yako ndio hayaKuwa na Hela linaanzia kwenye sh ngapi?
😍😛😛😒😒😒Kwa bahati mbaya mkeka unasoma bilabila
Wanaume hawana Hela,kutwa malalamiko wameombwa elfu mbili
Wanawake hawana usichana
Tunafanyaje mkuu?
BukuKuwa na Hela linaanzia kwenye sh ngapi?
😛😍😍😍😍😍Kuna bikra kaja kulialia humu,eti ametapeliwa na mume mlokole...
No formula....
Nasema hivi, singlemoms tunataka mume mwenye hela.🤒🤭
Mkuu ebu tuambie wewe ulipatana na mwenye bikra na pesa uliki nayo? Vp kuhusu yule uliyemuondolea bikra leo akiona unamsema apaHakuna haki bila wajibu! Timiza kwanza wajibu wako ndo udai haki yako. Jinsia nyingi za kike zimejiharibu zenyewe kwa kujihusisha na ngono mwisho wa siku hule ungavu/nuru ya kuvutia wanaume wamuoe imepotea wameushia kuja majukwaani na kulaani wanaume! Sasa wewe una kete gani ya kukuuza?. Kwanza "K" mdebwedo imetembea kilometa nyingi hadi kuzalishwa nani wa kuinunua?
Mwanaume hela huna!!!! utawezaje kumuhudumia mwanamke?. Ukizingatia ushauri wangu, nyuzi nyingi za mahusihano zitazingatia hili na kutupunguzia wasomaji/watazamaji kero
HahaaaBuku
Nionyeshe huo uzii sikuuzingatiaKuna bikra kaja kulialia humu,eti ametapeliwa na mume mlokole...
No formula....
Nasema hivi, singlemoms tunataka mume mwenye hela.🤒🤭
Hapa patamu...aisee umeongea point wewe ebu valentines njoo nikupeleke zenjiKwa bahati mbaya mkeka unasoma bilabila
Wanaume hawana Hela,kutwa malalamiko wameombwa elfu mbili
Wanawake hawana usichana
Tunafanyaje mkuu?
Njoo u isusie mbususu single mamaKuna bikra kaja kulialia humu,eti ametapeliwa na mume mlokole...
No formula....
Nasema hivi, singlemoms tunataka mume mwenye hela.🤒🤭
Tafadhari! Mimi ni me! Vigezo na masharti nimezingatia!Mkuu ebu tuambie wewe ulipatana na mwenye bikra na pesa uliki nayo? Vp kuhusu yule uliyemuondolea bikra leo akiona unamsema apa
Hakuna ni usumbufu tuHivi huwa kuna ulazima wa kuoa
Niache huko 🥴Njoo u isusie mbususu single mama