Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu ebu tuambie wewe ulipatana na mwenye bikra na pesa uliki nayo? Vp kuhusu yule uliyemuondolea bikra leo akiona unamsema apa
 
Kijana wewe upo bize kuchakaza mbususu za watu unategemea utakae muoa yake itakuwa mpya kabisa? Muosha uoshwa
 
Kwa bahati mbaya mkeka unasoma bilabila
Wanaume hawana Hela,kutwa malalamiko wameombwa elfu mbili
Wanawake hawana usichana
Tunafanyaje mkuu?
Hapa patamu...aisee umeongea point wewe ebu valentines njoo nikupeleke zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…