Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ooh🤦...sorry
Mbona tuliachaga hizo zikitu mkuu
Sikuhizi kibamia ndiyo anapendwa zaidi na pesa zake...kibamia huna hela,I swear u gonna kill yourself
Acha niwe mpuliza kipenga
 
Huu ni mtazamo wa jamii yetu ya kiafrika kutaka wanaume kuoa wanawake bikira au mwanamke kuolewa akiwa bikiria. Ila swala hili si kwa wanaume.

Ni sahihi mwanamke kutunza bikira yake kwa mwanaume ambae ameshakutana na wanawake kimbao. Au kuna mfumo dume unatumika kuhalalisha hili.

Lengo ni kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…