Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mwanamke bikra pekee ndo anapaswa kuchagua mwanaume na kupanga kiasi cha mahari wengine wote matapeli unless awe aliolewa akachwa,mjane au alibakwa
Kumbuka huyo mwanamke unayemwita tapeli ndio mama yako,ndiyo dada yako,ndiyo binti yako,chungeni midomo yenu
 
Bikra ni tunu, ukioa bikra , una zaidi ya majumba na dhahabu za dunia.
 
Ukweli kabisaaaaa! Na watu siku hizi wanapinga ukweli huu kwakuwa mtaani wamejaa wanawake ambao hawana bikra. Lakini kama watu wote wangeamua kuwa na msimamo kuwa mwanaume lazima aoe bikra nadhani Leo hii mtaani kungeanza kuwa na tabia njema.
Lakini kitabia bado ni janga kwani waweza pata binti bikra lakini alizaliwa na mwanamke ambaye hakuwa bikra wakati anaolewa, hivyo tabia zaweza endelea.
 
Walawi 21:13-14 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.

Tunakumbushana tu mjane ni yule aliyefiwa na mme wake period!

Wewe kama ulijichanganya ukaoa mke wa mwanaume mwenzio sio shida zetu. Ataendelea kupakuliwa tu mbaya zaidi uoe aliye zalishwa na mwanaume mwenzio.
Your browser is not able to display this video.


Hatupo hapa kutetea uzinzi, umalaya&ukahaba tupo hapa kusemea ukweli wote.


Mabinti tunzeni bikira zenu sisi tutaendelea kuwaambia ukweli iwe kwa lugha ngumu au laini lakini hakika tutasema tu.
Your browser is not able to display this video.


???..
 
WANAUME TUNAJIONAGA SISI NI SPECIAL SANA YAANI HAPO UNATAKA BIKRA ILA WEWE MWENYEWE SIO BIKRA USHAVIFUNUA CHUPI VITOTO VYA WATU KAMA 20 UKAVIACHA ALAFU UMEKUWA MZEE UNAANZA KUPIGA JARAMBA UNATAKA BIKRA WALE ULIOWACHEZEA AKAWAOWE NANI?

UNAKUTA MWANAUME USHAZALISHA WATOTO WA WATU ALAFU UNAKUJA KUSEMA HUTAKI MWANAMKE MWENYE MTOTO

BIKRA UKIITAKA HAKIKISHA HUJAWAHI CHEZEA VITOTO VYA WATU UKAVIACHA LA SIVYO CHONGA WA KWAKO UMUWEKE NDANI
 
Vitabu hivyo vya Dini Viliongelea Mazingara yaliyokuwepo kipind hiko.

Mazingira na wakat tuliopo umebadilika sana. Na pia utabadilika zaidi...

1. Utakuta kuna wanaume wakubwa wanatongoza na kurubuni vitoto vidogo,.
Wanawatoa bikra na kuwaacha.

2. Umri wa kuolewa kwa wanawake umesogea mbele zaid, kimaumbile inatakiwa akiwa na miaka 16 kwenda mbele aolewe na azae kabla ya miaka 30.
Sasa sikuhizi wao wenyewe wanaamua kuolewa wakifika 25+ . Na jamii inaona sawa.
Sasa Utamkuta bikra kweli?,

3. Wanaume na sisi tunachelewa kuoa, ilitakiwa ukiwa na miaka 18 uoe mwanamke bikra wa mika 15/16 hiv. Unaanza nae.
Sasa sasahiv mwanaume ana miaka 30 na hajaoa na hana Dalili kabisa ya kuoa .
(Maamuzi binafsi au maisha majukumu ya kulea familia anaona hatayamudu)

hivyo, kuoa Bikra sio ishu sana na Tusiipe Kipaumbele kwa wakat huu tuliopo.

Ila pia Wanawake wajitunze na wawe na Heshima kwa wanaume, wasivue vue chupi hovyo na wasitaman kuwa na vitu ambavyo wanahisi wakiwa na wanaume basi wanavipata. Waridhike na wanaume wao ambao Mungu amewaletea.
Mwanaume akikupenda na ukampenda na ww bas akajitambulishe na kukuoa. Na sio kusema Muda bado.
 
Hata hivyo Mwanaume ni special tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu.

Kuna baadhi ya hospital mkunga aliyekuwa anabahatika kuzalisha wanaume alikuwa anapewa pesa.

Huku nilipo mimi nimesikia wamama wakisema ukiwa na mtoto wa kiume kadi ya kliniki unapewa bure (kwa sasa wana kitabu japo mimi sijawahi kukiona) ila ukiwa na mtoto wa kike unaambiwa ukanunue daftali uandikiwe humo taarifa za mtoto wako!

Bado una bisha mwanaume hana uspecial?

Kinachowasababisha bikira ziwatoke ni tamaa zao wengi bikira zinaondolewa kwa chips kavu tu wakiwa la7 hadi form3

Usiwatete kabisa wakumtetea aliyebakwa na bikira yake!!
 
Masimp kama wewe mnapendwa sana na wakina dada wa kisasa, hata hii comment yako bila shaka itapata likes nyingi kutoka kwa wakina dada.

Anyway, wewe oa mtumba, tuache sisi tuoe bikira
 
Kuna masuala mawili ambayo huwa nashindwa kabisa kuyaelewa.
-inakuaje mwanaume anaoa mwanamke ambae tayari ashatumika?
-inakuaje mwanaume anakubali kuwa baba wa kambo?

Hayo masuala mawili hayajawahi kabisa kuniingia akilini. Fikiria mpo faragha halafu mwanamke anakulinganisha na maex wake, fikiria mwanamke anakuangalia unacheza na mtoto wake ambae amezaa na mwanaume mwingine. Just imagine jinsi anavyokuona mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…