Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Upo sahihi "mkubwa"!Ndiyo maana una miaka 28 wakati mimi ni babu mwenye mjukuu wa miaka 12.Endelea na mengineyo,Mimi nimetingwa na yangu.Usipaniki mdogo angu. Topic haihusiani na masuala ya kazi/ajira. Umetaka uniquenesses za kuoa bikira umepewa. Nawe tupe uniquenesses za kuoa mwanamke ambae ashatumika
Hauna hoja babu. Nenda kacheze mjukuu wakoUpo sahihi "mkubwa"!Ndiyo maana una miaka 28 wakati mimi ni babu mwenye mjukuu wa miaka 12.Endelea na mengineyo,Mimi nimetingwa na yangu.
Kijana,endelea na mambo yako.Si lazima ujibizane na mimi.Uwe na siku njema.Hauna hoja babu. Nenda kacheze mjukuu wako
Hakuna ukweli ni ujinga tu.Binti wa zamani kuna ukweli hapa??
Inabidi tusikie toka kwenu.
Unajua kujifariji mno najua wanawake wengi huwa munachukia sana munapoambiwa ukweli juu ya hiliHakuna ukweli ni ujinga tu.
Nani amekuambia ukioa bikra ndiyo hatachepuka? Bikra siyo kigezo cha ubora wa mwanamke.
Simama kwenye nafasi yako kama mwanaume na chagua mwanamke mnayeendana naye.
Wapo wanaofikiri ukimuoa kabla hajalombwa basi hata ukiwa mbovu kitandani, humfurahishi hatojua. Hiyo kitu haihitaji mwalimu, kama hufurahii mapenzi huwa yanageuka kero na maudhi. Mumeo akikuomba tendo unajihisi kukereka maana si jambo unalifurahia wala kulitaka, hata kama umeolewa bikra ni suala la muda tu kabla hujamuacha au kutamtafutia msaidizi.
Sina sababu ya kujifariji, mnapenda sana kutusemea kama nyie ndiyo wanawake.Unajua kujifariji mno najua wanawake wengi huwa munachukia sana munapoambiwa ukweli juu ya hili
Aloo acha nikatafute mizizi ya kimasai, niepukane na aibu ndogongogi na kuweka legacySina sababu ya kujifariji, mnapenda sana kutusemea kama nyie ndiyo wanawake.
Endeleeni kujazana ujinga, ila ukweli ni kwamba hatukumbuki aliyetutoa bikra, tunamkumbuka aliyetukojoza vizuri kuliko wote, huyo ndiye ambaye muda wowote akitaka kupasha kiporo anapewa.
Cc:
Vishu Mtata
Harmful
Hivi hizo bikra huwa zinasaidia nini kwenye ndoa?Wapo wanaume wenzetu mamia kwa maelfu walishawahi kutapeliwa kwa kuaminishwa kuwa mchumba wake ni bikira.
Hawa ni wanaume ambao wengi wao Mkuu wa makuhani Natafuta Ajira huwaita NICE GUY au mimi niwaite wenye element za kithesolonike hawa wameuziwa mbuzi kwenye gunia kwa wingi wao.
Zaidi ya yote huamini mke mwema anatoka Kwa Bwana hata kama hana bikira au alikuwa kahaba wakikutana naye kanisani akasalimiwa shalom Nice guy huingia mkenge bila kusita.
Wengine wapo wao kwa kujua ama kwa kutokujua walijikuta wameoa kitu used.
Je nifikra zipi zilikujia kichwani baada ya kukuta wahuni walishapita?
Kwa habari yetu sisi tuliobahatika kuvunja bikira hatuna kipengele kwakweli tunajisifu kwa hilo.
Tulia mkuu tuwasanue wanaume wenzetuDah ila watu wa nanjilili ndani ndani mpaka leo kilio chenu ni bikira🤣🤣
Hakuna hata jipya zaidi ya wake zao