KwishaaWatakwambia better a second-hand Mercedes than a brand new Bajaj.!!
Ungejiuliza kwanza gari mpya 0km na gari ya kununua kwa Bingwa wa magari used Dare Salaam zinatofauti gani jibu ungepata tu
Mimi sijakuuliza kuhusu magari ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ.Ungejiuliza kwanza gari mpya 0km na gari ya kununua kwa Bingwa wa magari used Dare Salaam zinatofauti gani jibu ungepata tu
Umewasemea pakubwa sana, Jisemee Nafsi Yako tu inatosha ๐๐Hakuna hata jipya zaidi ya wake zao
Kutamani ladha ambazo hawakuzionja mapema๐
Umewasemea pakubwa sana, Jisemee Nafsi Yako tu inatosha ๐๐
Mimi sijakuuliza kuhusu magari ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ.
Naomba usome tena swali langu na ulitolee majibu kwa kunijuza hizo faida au msaada wa bikra kwenye ndoa.
Bikra zinatusaidia nini kwenye ndoa?Mimi sijakuuliza kuhusu magari ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ.
Naomba usome tena swali langu na ulitolee majibu kwa kunijuza hizo faida au msaada wa bikra kwenye ndoa.
Thibitisha wapi yalipitwa na wakati mzee?Ndoa ni Taasisi. Taasisi Imara inajengwa kwa Mikakati Thabiti ya Kimaisha.
Mambo ya Bikra yalikwisha kupitwa na Wakati.
Kumanisha mods nao imewagusa pasina kujari hali zao za ndoa asee๐๐๐ ๐ ๐ wameunga
Wanapunguza huu ๐ฎ๐ฎ๐ฎ jukwaani!๐ ๐ ๐ wameunga
Sijapenda nilikua nangoja vita kwa hamu๐Wanapungiza huu ๐ฎ๐ฎ๐ฎ jukwaani!
Tunaishi katika dunia ambayo si lazima mtu afanye ngono ili aweze kuzaa. Maendeleo ya teknolojia kama vile In Vitro Fertilization (IVF), uchangiaji wa mayai (egg donation), na uchangiaji wa mbegu za kiume (sperm donation) yamebadilisha kwa kiwango kikubwa dhana ya ndoa na uzazi.Thibitisha wapi yalipitwa na wakati mzee?