Uzi mzuri kweli tulikose na nyie ndo mliotutoa na hamkutuwowa wametuwowa wengine basi tutawaombea mabinti na watt wetu wa kiume wapate baraka za kuzitunza.
Anayeweza hayo yote mkuu ni yule ambaye alijitunza pia sasa unakuta mama alishavunjwa akiwa sekondari we unadhani ataweza kuwatunza watt wake? C anaona kawaida tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kumtambua mwanaume bikira (sex anaisikia kwenye bomba) inakuaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha Ha Ha watu wanaugulia moyon kila wanapokumbuka waliweka ndani kitu used.wanataman wafanye maamuz mbadala sema wameshachelewa..
acha kujitetea wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiangalia hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa bikra, hata malaya aliwahi kuwa bikra. Kwahiyo kama bikra ni kitu ambacho kila mwanamke aliwahi kuwa nacho, kinachokuja kutofautisha mke mzuri na mbaya ni mambo mengine kabisa. Ukipata bikra oa, lakini usije kulalamika humu hajui kupika au sijui hapendi ndugu zangu. Mfundishe, ni bikra huyo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeongea ukweli ila utapingwa na wale wasiopenda kweli, wapendao dunia kuliko kumpenda Mungu, ubarikiwe sana mtoa mada.
Hii bikra iliwekwa ina maana yake
Kumbuka kila mwanaume ana size yake ya urefu na upana wake
Sasa tumepewa funguo na kitasa ni kipya kila mtu anapooa anatakiwa afungue kwa saizi yake ndipo panapatikana raha na utulivu
Sasa mfano wewe una mashine inch 6
Na huyo unaemuoa ameshapitiwa na inch 12 upana inch 3 mzunguko
Unategemea utamuweza?
Au utakuwa unaogelea katika kina usichokiweza
Hata kwenye kina cha swimming pool kuna vina vya maji urefu tofauti kila mtu anaogelea kulingana na ujuzi wake
Ukilazimisha ujuzi wa mwenzio utakufa bure
Kila funguo ifungue mlango wake
Ukiingiza kitasa kisicho chako utachokoa tu hutapata kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikuwa msafi wa mwili nanroho nilipokutana na shemeji yenu.
Kuoa mwanamke bikra kuna raha yake aise maana presha unakua huna kabisa.....
Tofouti na ukioa mwanamke ambae keshavunjwa tayari presha ni muda wote maana unajua fika kabisa muda wowote wakikutana na aliolala nao kuvunjwa tena ni rahisi tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata kuteleza ni mara chache sana yaani kwenye mabinti 10 waliolewa bikira inaweza kuwa ni mmoja au asiwepo kabisa anaesaliti....Mkuu, hata kumsamehe mwanamke wanamna hii akiteleza ni rahisi sana
Basi litafutwe jina la mwanaume ambae hahawahi ku-sex,mwanamke ni bikira je mwanaume vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]Mkuu usidhani nipo hapa kuwalaumu au kuwatukana wanawake. Mwanamke anapaswa kuwa na msimamo na kujitunza kimwili. hii ni moja ya sifa ya mwanamke. Mwanamke hujaribiwa na wanaume kupima msimamo wake na namna alivyo na tabia njema. ndio maana bikra ikawekwa kwake. Endapo hataitunza tafsiri yake si muaminifu.
Si watetei wanaume bali kila mmoja atahukumiwa kwa namna yake na sheria zinazomhusu.
Ushauri: kama wewe ni mama Bora, mwanamke mwema hakikisha unawatunza wanao na kuwakagua kila mara huku ukiwafundisha neno la Mungu uone kama kuna mwanaume atagusa papuchi za wanao.
Bikra kitu gani? Muhammad S.A.W Mtume wa Waislam mke wake wa kwanza kuoa hakuwa bikra na alimpenda sana tu....na alifikia kuwapa mfano wake zake waliofuata kwamba hawamfikii Khadija kwa ubora wa mke. Wakati mwingine usichunguze sana...jiulize wewe ni bikra?
Sent using Jamii Forums mobile app