Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sina hata wa kusingiziwa Mimi kabisa, na pia mtoto atachezewaje kwani amekuwa mpira?
Mbona unafikiri na kuhoji kitoto sana, nani alikwambia kila kinachochezewa au kinachochezewa ni mpira tu ?
 
Japo siwezi kulazimisha tufanane mitazamo ila narudia tu tena mwanamke hata awe bikra akishindwa kusimamia mipaka yake kama mwanamke ndani ya ndoa basi ndoa hiyo ipo mashakani la muhimu ni hilo ndani ya ndoa nasio bikra ndio inaiimarisha ndoa. Kuna sehemu nimeona eti mwanamke ukimuoa bado bikra hatajua wewe unakibamia au laaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ madogo mnajidanganya kwani kibamia kinatokana na kuona na sio utendaji hata kama mkeo ulimkuta bikra ila alishaingia hata kwenye porn site moja atakuwa alishaona maumbile tofauti tofauti na akiuliza kwa rafiki yake neno kibamia linamaanisha nini akiambiwa ni uume mdogo basi kwa kulinganisha alichokiona sehem zingine na kwako hata kama hata kutamkia ila jibu atakuwa nalo kuwa mme wangu anakibamia. Kibamia hakitokani na utendaji bali kinatokana na kuona. Kama mtu anakibamia ila mwenza wake anafikishwa safari zake unafikiri Kuna madhara!?
BIKRA KWENYE MAISHA YA NDOA HAINA KAZI NDIO MAANA MAFUNDISHO YA NDOA HAYAJAGAWANYWA HAYA YA MABIKRA NA HAYA YA AMBAO SIO MABIKRA. Mafundisho ni mamoja tu.






MAGUFULI4LIFE.
 

Hongera, umeandika kwa hekima mno [emoji1376]
 
Kuna mwanaume anategemea kumuita mke mwanamke kama huyu na kuanzisha naye familiaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ anakwambia kaz ya k ni kutumika kwa sana!!! Watoto wana nini ya kujifunza kwa mama kama huyu sasa???πŸ€”πŸ€”
hamna kitu kaaaabisa humo!
 
Bikra raha na tamu sana kuitoa

Kuna ile hatua ya ub@o kushindwa kuingia na msichana kulia lia

Nina bahati sana ya kuthubutu kukutana na wasichana mwenye kilomita sufuri
 
Tumuache kwanza, naona ulanzi wa mahaba umemkaa pazuri. Cha kumsihi tu ahakikishe hamuachi mkewe popote aendapo kikazi esp. uhamisho wa kimkoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mwanamke mwenye kinga ya kutokuchepuka.
Lakini mleta mada yupo sahihi kwa 100%!

Mwanamke siku zote anamheshimu na kumkumbuka sana yule mwanaume aliyembikiri. Yule ndiye aliyempiga chata ya Kwanza ya kiume(sexual imprint).

Kwa mwanamke yule mwanaume aliyembikiri ana matter mno, hata wanaume wengine watakaofuata inabidi wawe na ufanano na yule Me aliyembikiri ndipo waweze kumvutia huyo Ke maana wanaibua kumbukumbu za yule aliyembikiri.
Kudos Jokajeusi !
Virginity matters!!!
 
Una obsession Sana na bikra, na ambao hawana nao mwanzo walikuwa mabikra, hata kuomba kazi hutaka mwenye experience same applied na bikra hajui lolote ukimuoa ndani ya ndoa ataanza kutafta new taste.
Hakuna mwanaume asiyependa mwanamke Bikra, ni heshima kubwa sana na inamaanisha mengi.

Mungu mwenyewe alimchukua Bikra ili amzaliye mwanaye, binadamu ni nani hata apingane na mapendekezo ya Mungu?

Bora kuoa Bikra asiye mzoefu ili ukamfunze mwenyewe kuliko anayekuja na uzoefu lakini ni damaged physically and emotionally.
 
Kashindwa kutunziwa Adamu itakuwa wewe.!

Hawa alipitiwa na Jokajeusi akapatikana Kaini yote yanayoendelea ni urithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…