Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mungu hakuwa na maana hyo unayoifikiria...na wala Mungu hana mke wala mtoto..
 
Mkuu bikra ipi inazungumziwa hapa!? 😜

Tumuache kwanza, naona ulanzi wa mahaba umemkaa pazuri. Cha kumsihi tu ahakikishe hamuachi mkewe popote aendapo kikazi esp. uhamisho wa kimkoa 😂😂😂
 
Mbona unafikiri na kuhoji kitoto sana, nani alikwambia kila kinachochezewa au kinachochezewa ni mpira tu ?
Huo ulikuwa mfano tu hujui hata lugha ya picha au hukusoma fasihi
 
Hyo huwa mnajifariji tu haina maana yoyote hasa sikuhizi bikra xinatengenezwa na uke una banwa vizuri wewe hujui wajiona umepata
 
Ndio Virgin matters ila sio kwa kibongo bongo. Labda ulaya! Unamtoa bikra mwanamke na baadae anagundua we sio type yake anaenda olewa na mtu mwengine ushafikria🤣🤣🤣
 
Ndio Virgin matters ila sio kwa kibongo bongo. Labda ulaya! Unamtoa bikra mwanamke na baadae anagundua we sio type yake anaenda olewa na mtu mwengine ushafikria🤣🤣🤣
Issue siyo kubikiri bali kuoa Bikra... ni vitu viwili tofauti Bro.
 
Mbona hata wewe unajifariji ndugu kazi ya k nikutumika kwa Sana hzo bikra mbwembwe tu, mwanangu mwenyewe kuliko asi enjoy life eti anamtunzia wa kumuoa too me ni madness, I believe peoples beauty in their heart na sio hyo bikra
Mkuu...usimuache mtoto wako awe mzinzi kwa kigezo Cha kuenjoy maisha...Khaaa SASA ULEZI GANI HUU...

yaani utamsihi akatombane afurahie maisha...Mh
 
Mkuu...usimuache mtoto wako awe mzinzi kwa kigezo Cha kuenjoy maisha...Khaaa SASA ULEZI GANI HUU...

yaani utamsihi akatombane afurahie maisha...Mh
Sio azini ajifuraishe maisha Kama haja enjoy before marriage unafikiri huko ndio ata enjoy life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…