Natamani kujua Zaidi kazi ya bikra kwenye ndoa. Ila nitajifunza taratibu haswa kwenye kizazi hiki cha sasa ambacho bikra hazina uwiano sahihi wa matunzo. Mbele imo nyuma imetoweka and vice vice versa.
Hata hivyo bikra ina umuhimu wakeBikra kitu gani? Muhammad S.A.W Mtume wa Waislam mke wake wa kwanza kuoa hakuwa bikra na alimpenda sana tu....na alifikia kuwapa mfano wake zake waliofuata kwamba hawamfikii Khadija kwa ubora wa mke. Wakati mwingine usichunguze sana...jiulize wewe ni bikra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaolewa, ukiolewa muombe mshikaji msamaha kwa kutokumkabidhi kitu kipya
Hahaaha! "Mbele imo nyuma imetoweka" Nimecheka sana Mkuu.
Hakuna bikra ya nyuma mkuu. Bikra ipo mbele kutokana na huko ndiko kuliko halali.
Tofauti ya hapo ni Uasi tuu.
Bikra humpa heshima mwanamke, familia yake na ukoo kwa ujumla. Ni dalila ya kusema familia ile imetulia.
Amini nakuambia sisi wanaume tuliowengi ni rahisi kuamini na kujivunia kuwa na mwanamke bikra kuliko asiyekuwa nayo.
DAH KILA NIKILIONA NENO BIKRA ROHO INANIUMA SANA.
KUNA DADA MMOJA NI BIKRA HAPA, NILIPOMRUSHIA VERSE AKAKATAA..KANIAMBIA NIMECHELEWA TAYARI KUNA JAMAA KASHAWEKA ODA YA KUMUOA..
NGOJA NITAFUTE PESA LABDA ATAKUJA MWENYEWE
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
umeolewa?
Takwimu sina lakini zipo(kwa waliofanya utafiti).
Wewe ulidai kuwa bikra zinaleta usumbufu, ni usumbufu gani?
umeolewa?
Umejibu, lakini jibu sio sahihiSina bikra tuishie hapo hapo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwifwa una maswali yana muwasho flani hivi. wee elewa tu bikra ni usumbufu tu ziko mbona zinauzwa mitaani sasa sio usumbufu huo mwifwa wewe nawe
Hahahahaaaahahahaaa! muache dada angu bhana
Mkuu mleta mada, sioni, sifikirii na sidhani kama kuna mtu ataleta hoja yoyote yenye mashiko au yenye nguvu kupinga ukweli huu. Wataimba, wataleta mashairi yenye vina, lakini yote ni kutaka kujifariji tu. Kama ilivyo, kwamba kuiba ni dhambi, basi hakuna neno lolote la kutakasa tendo hili. Huu ni ukweli mchungu sana.
Wapo walioleta utetezi eti hakuna mwanamke ambaye hakuwa na bikra, Sawa, walikuwa nazo; je zilitoka katika mazingira ya maandiko yanavyosema? kwamba siyo kwa aibu kwa wazazi wao? Hapa ndipo ukweli uliposimamia. Otherwise, maneno yoyote kupinga ukweli huu, ni kutaka kuongeza pages za thread tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunashangaza tunaowatoa wanawake bikra kabla ya ndoa ni sisi, tunaolalamika bikra zimeadimika ni sisi kweli mtoto wakike kaumbiwa lawama poleni dadazangu mtuvumilie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app