Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mh. Watoto wa siku hizi watatunza za mbele wata tatua za nyuma aseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umekosea sana kusema kuoa mwanamke asiye bikra ni chanzo cha migogoro katika familia. Maana bikra ni hali ya kibaiolojia na haina mahusiano na mapenzi ya dhati kwa mtoa bikra. Dunia ina mengi ya kufikirisha kichwa kuliko bikra ambayo ni maumbile tu ya kibailojia.

Ustawi wa ndoa na mahusiano misingi yake mikubwa ni mapenzi ya dhati ambayo chanzo chake sio bikra ila ni hisia za ndani kabisa za mtu zitokazo moyoni na zinazochochewa na fikra katika ubongo wa binadamu. Mapenzi yanazaa mengineyo kama uvumilivu, kuchukuliana madhaifu, kusamehana na kuwa na imani na mwenzi wako.

Bikra haina athari yoyote katika kudumisha mapenzi ambayo mazingira yake yametawaliwa na mengi unayoyajua na usio yajua mleta mada.
 

Upendo ndiyo sheria Kuu ndugu yangu. Sheria hii inasema mpende Bwana Mungu wako na umpende jirani yako kama nafsi yako ilivyo. Hakuna mapenzi ya dhati yakuvunja sheria za Mungu. Yaani ufanye uasherati.

Bikra haina athari kwa kizazi cha zinaa Mkuu
 
Nadhani haya ndiyo maneno au nasaha zinazomfaa Rebeka 83. Naamini kuanzia hapa ataelewa. Naona alihisi kuwa ni uzi wa kuwashambulia wanawake. Nimependa ufafanuzi wako mkuu. Ubarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaaah, kwenye ukweli uongo hujitenga aseee.

Katika pita pita yangu nikaangukia kwenye huu uzi hasa hii komenti yako, nikaicha.

Alivokuja mbio mpenda simu yangu na kuukuta huu ujumbe wako naona anarudisha simu taaraaaatiiiiiibuuuuu.


Nikajua JF haijawahi kukosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani haya ndiyo maneno au nasaha zinazomfaa Rebeka 83. Naamini kuanzia hapa ataelewa. Naona alihisi kuwa ni uzi wa kuwashambulia wanawake. Nimependa ufafanuzi wako mkuu. Ubarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu kuwakagua watoto?? ndio unaona nasaha?? wewe ukiwa na wanao utwakagua bikra zao???...mbona mnaongea vitu kama vile mnaishi sayari nyingine wakuu?
 
nyie mnaodhani bikira inaboresha mahusiano ndio mko naïve...eti jiwe?! kwani mie nitakua wa kwanza au mwisho kuwa na bikira,kiasi ikitolewa niumie?


Mwenye hekima usikia maonyo lakini Mpumbavu hushupaza shingo. Tukubali tumekosea tunapaswa tulinde kizazi kijacho. Hicho ndio cha msingi
 
mkuu kuwakagua watoto?? ndio unaona nasaha?? wewe ukiwa na wanao utwakagua bikra zao???...mbona mnaongea vitu kama vile mnaishi sayari nyingine wakuu?


Mbona zamani walikaguliwa Mkuu?
Embu soma hapa Kumbukumbu la torati 22

15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;

16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;

17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…