Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Yawezekana ulichokiongea ni sahihi. Japo lugha uliyotumia du!
Mimi ni mwanamke, lakini sidhani kama ni jambo jema kwa mwanaume aliyeoa lady asiye na bikira kumwita "mjinga". Si kosa lake. Na tambua pia kuna wanaume hawapendi hizo bikira. Pia, kinachounganisha watu ni upendo na si bikira.
Jingine, utajua vipi kama huyu binti Ana bikira au hana? Maana hatutembei na nembo siye.
Hayo yote ni majaliwa

Ningekuuliza kitu lkn basi tu
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Auchukue hiyo bikra aiweke ndani kama mke yaaani kuwaza kote anafikiri ndoa ni bikra haaaahaaa kwa stail hii tutegemee kuvunjika kwa ndoa kila siku (NDOA NI ZAID YA MAUMBILE IKIWEMO BIKRA)
 
Back
Top Bottom