Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Boss unanichekesha

Kutana na Chuma chakavu(used) na unakiita kinajua maisha kama mnavyidai tena ana kipato chake ,yaan kuhudumia kuko pale pale ,tena bora kitoto cha 19 unahudumia padogo tu hilo used litataka sio ulijengee Nyumba bali hata kiwanda
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa kumjenge nyumba tenaa??? Kwa akili zangu zilivyosasa sidhani Kama mwanamke anaweza niambia utumbo Kama huo nkakubalii
 
Wala sicomment kinyonge.. BIkra nilikuwa nayo na aliyenitoa ninaye hadi leo utanipima ni kiasi gani nilivyombunifu ingawa kuchepuka kupoo..yeye ataenda na mimi nitaenda but still tupo pamoja tunalisongesha na tulishasahau kama tulitoana hata hiyo bikra unayohiitaji wewe leo.. nakuonea huruma hujapata bikira hadi leo unaonekana na wewe bikra kiukweliii
Si unaona Jamaa alivyokukuta bikra kakung'ang'ania kinoma
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shida utampata wapiii...labda lasabaa
Shughul inaanzia hpo pa kumpta
Miaka inavyoenda tutaanza chagua ambaye haja jiamber rutty maana maisha yanaenda kasi sana

Tumetoka kwenye bikra mpk kuomba tusipate single mother watakao oa mwaka 2050 sjui watakuwaje
 
Now inabdi asiliwee tigo tuu bhasiii...! Maana unakuta hata nyumba bikraa haipoo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itafika kipindi wataomba ambae hajawahi toa mimba bhasi maana bikra zote hazipoo
 
Mzee mwenzangu naona umekata tamaa kabisa,ha haa
Yani mkuu above 20 hakuna kituu...Hadi sasa Sijabahatikaaaa kabisaa...! Kwanza siwapendi kwa matumizi maana wana mambo ya kitoto mara sijui zike msg za kusex usiku yani balaa tupu....labda Kuoa tu na me wazo la kuoaa kwa sasa duuh...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mm naoa mwanamke nitakae furahia nae maisha though kuna vitu vingine vinaweza kuwa kama added advantage.

Ila hapa nmeona ili suala la bikira limekuwa mwiba sana na najua wengi mmeingia kwny ndoa bila bikra sasa mnamshangaa na kubishana na mtu mwenye mtazamo tofauti na nyinyi
Huo ndio uanaume mengine makelele tu. Ungekua karibu ninge [emoji6]
 
si kweli kusema zamani walikuwa wanaolewa mapema kusema ndio kigezo cha wao kukutwa bikira ndani ya ndoa.......kwani unataka kusema leo hii hakuna wanawake mabikira wenye umri kati ya 25 na 35 na elimu hii mbona ipo sema shida ya wengi siku hizi si wavumilivu na hawajui thamani ya kuolewa bikira

Kusema si kweli pia haifanyi ikaacha kuwa kweli.
Unaposema hakuna wenye bikra sasa katika umri wa 25-35. Wapo ila jaribu kuwa realistic basi, wapo lakini watakuwa wachache... Wewe ni ME nadhani unaweza kulijibu hili kwa usahihi angalau kwa research ndogo uliyoifanya.

Mwisho naunga mkono unaposema "shida ya wengi siku hizi si wavumilivu na hawajui thamani ya kuolewa bikra" naongeza kusema pia hiyo thamani wataijuaje ikiwa mtu anakutongoza leo, baada ya wiki anaomba mchezo ikiwa amekuahidi kukuoa? Means angetaka mwanamke wake ajue thamani ya bikra angemsaidia kuitunza hadi pale watakapo funga pingu za maisha. Mkuu huoni hili ni tatizo la pande zote mbili? Kwahiyo amkatae kwakuwa ameomba mchezo ikiwa na yeye kampenda? Lets be real here! Je huyo KE wakati anakataa anakuwa hana nye*e? Tunamlaumu nani hapa kwasababu gani? Tupanue mjadala tafadhalini................
 
No comment kwasababu unanipeleka katika mjadala ambao yawezekana nikawa siamini katika unachokitaja, hivyo hoja hiyo ni batili.

Sio wote duniani wanamwamini Mungu na sio wote wanatumia bible kama reference book.

Reference yako ni ipi ili nijue chanzo chako kikuu cha maarifa. Nisijekuwa naongea na mtu ambaye hana foundation.
 
Usimsemee mwanamke pekee kwamba sio mvumilivu, jiulize na wewe unauwezo wa kuvumilia hiyo mihemko kabla ya ndoa? maana mwanamme ndio mtoaji wa hiyo bikra unakazania mwanamke tuuu wakati nyie ndio mnaowarubuni hadi watoto wa shule za msingi halafu bado unataka bikra badili mindset yako.
Kwani umebakwa si una uwezo Wa kubana,kwan enz za mababu walikua hawarubuniwi
 
Now inabdi asiliwee tigo tuu bhasiii...! Maana unakuta hata nyumba bikraa haipoo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itafika kipindi wataomba ambae hajawahi toa mimba bhasi maana bikra zote hazipoo
Wahi ukipta bikra weka ndan maana 2030 tunaanza kutoa tuzo kwa mabint walio jistir kwa muda mref
 
Hamna mzuka basi tu tunafarijiana eti used aniambie I love you,afu ana ex /ma ex huu hua ni unafiki flani kiwango cha flyover ya mfugale
Kwamba ukishatobolewa Huwezi Kupenda tena au????[emoji16][emoji16][emoji16] Acha hizo mkuu upendo unakaa moyonii sio chupinii... Mbona wanaume kuoa hujawahi kusex sio sifaa????
 
Unaweza ukajikuta unachezewa badala ya kuwachezea .Kama hujawa mbobezi kwenye hizo nyanja bora uwe mpole utafute utakayeridhiana mpange maisha .Unavyozidi kuwaharibu nawe pia unajitengenezea laana itakucost mbeleni.

Umeongea jambo la msingi. Ila binafsi bila bikra siwezi oa. Ninajua kwa nini nazungumza hivi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa kumjenge nyumba tenaa??? Kwa akili zangu zilivyosasa sidhani Kama mwanamke anaweza niambia utumbo Kama huo nkakubalii
Hao ndo wanajua maisha bora ki 19 yrs changu unakipa tecno umemaliza
 
Hao ndo wanajua maisha bora ki 19 yrs changu unakipa tecno umemaliza
Na mwenzako atakiahidi iPhone kitampaa..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama unavyoona wewe ni rahisi kukidanganya bhasi wenzako watakidanganya hivyo hivyoo...
 
Huo ndio uanaume mengine makelele tu. Ungekua karibu ninge [emoji6]

Lkn i expected one of my sistas in here bragin kuwa aliolewa na bikra au bado leo anayo lkn hamna [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusema si kweli pia haifanyi ikaacha kuwa kweli.
Unaposema hakuna wenye bikra sasa katika umri wa 25-35. Wapo ila jaribu kuwa realistic basi, wapo lakini watakuwa wachache... Wewe ni ME nadhani unaweza kulijibu hili kwa usahihi angalau kwa research ndogo uliyoifanya.

Mwisho naunga mkono unaposema "shida ya wengi siku hizi si wavumilivu na hawajui thamani ya kuolewa bikra" naongeza kusema pia hiyo thamani wataijuaje ikiwa mtu anakutongoza leo, baada ya wiki anaomba mchezo ikiwa amekuahidi kukuoa? Means angetaka mwanamke wake ajue thamani ya bikra angemsaidia kuitunza hadi pale watakapo funga pingu za maisha. Mkuu huoni hili ni tatizo la pande zote mbili? Kwahiyo amkatae kwakuwa ameomba mchezo ikiwa na yeye kampenda? Lets be real here! Je huyo KE wakati anakataa anakuwa hana nye*e? Tunamlaumu nani hapa kwasababu gani? Tupanue mjadala tafadhalini................
Yaan niku ahid ndoa nisikuombe mchezo utaendelea kuwa na Mimi au utahis jogoo hapandi mtungi
 
Back
Top Bottom