Kusema si kweli pia haifanyi ikaacha kuwa kweli.
Unaposema hakuna wenye bikra sasa katika umri wa 25-35. Wapo ila jaribu kuwa realistic basi, wapo lakini watakuwa wachache... Wewe ni ME nadhani unaweza kulijibu hili kwa usahihi angalau kwa research ndogo uliyoifanya.
Mwisho naunga mkono unaposema "shida ya wengi siku hizi si wavumilivu na hawajui thamani ya kuolewa bikra" naongeza kusema pia hiyo thamani wataijuaje ikiwa mtu anakutongoza leo, baada ya wiki anaomba mchezo ikiwa amekuahidi kukuoa? Means angetaka mwanamke wake ajue thamani ya bikra angemsaidia kuitunza hadi pale watakapo funga pingu za maisha. Mkuu huoni hili ni tatizo la pande zote mbili? Kwahiyo amkatae kwakuwa ameomba mchezo ikiwa na yeye kampenda? Lets be real here! Je huyo KE wakati anakataa anakuwa hana nye*e? Tunamlaumu nani hapa kwasababu gani? Tupanue mjadala tafadhalini................