Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Wewe nani alikutoa bikraAhsante kwa gazeti,ila naona umezunguka but umerudi pale pale "mwanaume ataitwa bk ikiwa tu mtu atatumia maana ya ziada" so hicho ndicho nilitumia, na point yangu uliielewa vizuri tu kuhusu kujitunza ,ila basi ubinadamu kutafuta makosa madogo ili akuze mambo, ila freshi
but kama umeamua kumuelekeza mtu juu ya issue yoyote Tumia busara basi hiyo kutukana(mpumbavu nk)+ kejeli sidhani kama ni vizuri kwa msomi wa bikira kama wewe,but huenda inakuongezea credits who knows. Pamoja na kuwa msomi wa bikira na maana zake pia kuna vitu unaweza kuwa huvujui na watu tunaendelea kujifunza daily yani,huwezi jua kila kitu.
Hivi niandikaje ili inioneshe kwamba mi siyo msomi?,maana inawezekana napewa title ambayo sina na kupelekea kuelekezwa vitu kwa kutukanwa na masimango dah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app